Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Mama havuti sigara....acha hizo...Inamaana taifa linakwenda kupata rais wa kwanza mvuta sigara
Hao vijana watapambana na hali zao....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama havuti sigara....acha hizo...Inamaana taifa linakwenda kupata rais wa kwanza mvuta sigara
Afu nani atakuwa anatesa wadanganyika wanaovaa sare zinazofanana na zao?Gabon is loading......
ChademaSio serikali inahangaika?
[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji106]Wewe unawasikiza hao haters,mama yupo sana tuu
Mtaje huyo Kijana tumjue vinginevyo hii ni comedian thread !Ni wazi mama anamuandaa kijana wao ili ampishe kiti cha Urais 2025
Hatagombea
Hawa watu wamejipanga wanata kijana wao akae kwenye wizara isiyo kuwa na heka heka Ili asichafuke isije kumuharibia kuelekea 2025
Ndio maana awamu hii wanataka wasaini mikataba yote mibovu kwasababu samia anajua hana cha kupoteza kwa kuwa 2025 anamuandaa kijana fulani
Watanganyika tujiandae kwa mateso mengine makubwa kuanzia 2025-2035
TANGANYIKA tulimkosea nini Mungu?
Mzee Ushimen mtu wako huyu 🤒Jpm ndo aliiharibu Ile sector kwa kupenda masifa ya mda mfupi bila kuangalia uchakavu wa vipuri, mitambo na vinginevyo. Jpm angeendelea kuwepo nchi IPO siku inheingia gizani mwaka mzima
Kwani Magufuli si alikuwa na mpango wa kubaki madarakani mda mrefu, kamuulize yuko wapi sasaNi wazi mama anamuandaa kijana wao ili ampishe kiti cha Urais 2025
Hatagombe...
.....wakiingia mitaani wanaanza kukupaka mafuta wewe....asante Bwana Yesu, asante kwa kutuletea Bwana gabo, njoo Bwana Gabon
Inamaana taifa linakwenda kupata rais wa kwanza mvuta sigara
Sio hapa kwenye mwenge... Hapa wako bize kukamata walalahoi wanaovaa mavazi yanayofanana na yao...asante Bwana Yesu, asante kwa kutuletea Bwana gabo, njoo Bwana Gabon
[emoji1787]Mtaje huyo Kijana tumjue vinginevyo hii ni comedian thread !
Bora iwe hivyo...Sio hapa kwenye mwenge... Hapa wako bize kukamata walalahoi wanaovaa mavazi yanayofanana na yao...
Mama amechoka na huo Uraisi wa kusimangwaNi wazi mama anamuandaa kijana wao ili ampishe kiti cha Urais 2025
Ujinga mzigo....Gamboni yaja, JWTZ mzigo huo hauna mwenyewe changamkieni. 😀 😀
Makamba alivyoingia alisema baada ya siku 20 mgao itakuwa ni historia matokeo yake ndiyo imekuwa ni zaidi ya mgaoJpm ndo aliiharibu Ile sector kwa kupenda masifa ya mda mfupi bila kuangalia uchakavu wa vipuri, mitambo na vinginevyo. Jpm angeendelea kuwepo nchi IPO siku inheingia gizani mwaka mzima
Usijali tunampa mitano tena. Atakake asitake.Nilitamani mama aende hadi 2030