Hata mimi kama ningekuwa kwenye position ya kutengeneza pesa ningependa iwe hivyo. π π πMie nilitamni hado 2040
Aondoke hakuna anachofanyaMama amechoka na huo Uraisi wa kusimangwa
[emoji1787]Hata mimi kama ningekuwa kwenye position ya kutengeneza pesa ningependa iwe hivyo. [emoji28][emoji28][emoji120]
acha uwoga we uto... aka chawa wa dp wedi.Ujinga mzigo....
Wakiingia mtaani kwako wanaanza kukupaka mafuta wewe.....
Acha uvivu, google, mkwe kapelekwa TAMISEMI kukusanya hela kwa DEDs na uchaguzi wa serikali za mitaaWaziri mpya wa Tamisemi ni nani? Je sijaaangalia vizuri au
Jana nimekutana na wale wageni waliokuja home ndugu wa mzee..π€£Afu nani atakuwa anatesa wadanganyika wanaovaa sare zinazofanana na zao?
Wenzio wako bize na Mavazi.... ya Gabon hayawahusu....
Uoga ni ujanja....acha uwoga we uto... aka chawa wa dp wodi.
Gabon is loading......
Acha uvivu, google, mkwe kapelekwa TAMISEMI kukusanya hela kwa DEDs na uchaguzi wa serikali za mitaa
Ungekuwa wewe ungewaacha?π€£
Kuna uzi humu jf watu wanasema jamaa huwa anawakamua hela madon wa madini. Labda wafukua makaburi watafute huo uzi
This is the best option if chosenGabon is loading......
Inner circle.Hivi Makamba ni lazima awe Waziri?
Kwani lazima tuichaguwe CCM?Ni wazi mama anamuandaa kijana wao ili ampishe kiti cha Urais 2025
Hatagombea
Hawa watu wamejipanga wanata kijana wao akae kwenye wizara isiyo kuwa na heka heka Ili asichafuke isije kumuharibia kuelekea 2025
Ndio maana awamu hii wanataka wasaini mikataba yote mibovu kwasababu samia anajua hana cha kupoteza kwa kuwa 2025 anamuandaa kijana fulani
Watanganyika tujiandae kwa mateso mengine makubwa kuanzia 2025-2035
TANGANYIKA tulimkosea nini Mungu?
SijuiUngekuwa wewe ungewaacha?
Nyerere pia alikuwa anakula fegi mbona na foto zpo..Inamaana taifa linakwenda kupata rais wa kwanza mvuta sigara
Ngoja kwanza auze anachouza hawezi kuondoka mikono mitupuAondoke hakuna anachofanya