Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Afu nani atakuwa anatesa wadanganyika wanaovaa sare zinazofanana na zao?

Wenzio wako bize na Mavazi.... ya Gabon hayawahusu....
Jana nimekutana na wale wageni waliokuja home ndugu wa mzee..🤣
 
Gabon is loading......

Hivi wao Gabon wamewezaje?

unajua ndiyo maana kumbe hawa wakwetu wakisha staafu Jeshi wanaishi maisha kama wana laana vile
maisha ya dhiki
maisha ya kifukara
coz wanadhani hata wakitoka kwenye hiyo nafasi ya Jeshi bado wataendelea kupeta!

Kumbe wanarudi kwenye Jamii na tunapanga wote foleni kugombea dala dala na kupigana vikumbo sokoni!

Wanashindwa kabisa sasa hivi
kusimamia haki na uvunjifu wa katiba ya Nchi?
 
....yote 9, 10 yaani brasa angu kasim atakuwa na hali gan kwa sasa, maana kitakachofanyika hatatumwa kaz ya kufany na bi mkubw..
 
Ni wazi mama anamuandaa kijana wao ili ampishe kiti cha Urais 2025

Hatagombea


Hawa watu wamejipanga wanata kijana wao akae kwenye wizara isiyo kuwa na heka heka Ili asichafuke isije kumuharibia kuelekea 2025

Ndio maana awamu hii wanataka wasaini mikataba yote mibovu kwasababu samia anajua hana cha kupoteza kwa kuwa 2025 anamuandaa kijana fulani


Watanganyika tujiandae kwa mateso mengine makubwa kuanzia 2025-2035


TANGANYIKA tulimkosea nini Mungu?
Kwani lazima tuichaguwe CCM?

Tuanze sasa kuimba
CCM must go....

#CCMmustGo
 
Bora tu usimfahamu. Maana ndani ya miezi michache ijayo, utashangaa ameteuliwa Waziri mwingine! Sijui shida iko wapi. Halafu maajabu yake sasa, utakuta kwa sehemu kubwa sura ni zile zile!
 
Back
Top Bottom