Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Huyo mtoto yupo kwenye Circe yao kitambo, ameshakuwa meya wa Ilala na mjumbe wa Kamati kuu ya Ccm, huwezi kupata hizo nafasi hivihivi.

Ingekuwa upambe tu unalipa hata Pascal Mayalla angepata uteuzi lakini wapi hata ukuu wa wilaya hajawahi kufikiriwa pamoja na kujitowa akili kote.
Kwa "connections", Slaa anazo za kutosha.

Akiwa meya alitengeneza mtandao kwa kuwa na ujumbe wa bodi hapa na pale nayo imemsaidia.

Labda atasaidia kurekebisha kodi mbalimbali khasa za majengo.

Ana ujuzi wa masuala ya kodi na ni mhasibu pia lakini alishindwa kutengeneza njia nzuri za mapato akiwa meya.

Amejitahidi sana kujiweka sawa khasa kule kwenye Linkedin.

At last imelipa.
 
Ishu ya PM kutakiwa kuondolewa kumbe imekuwa serious.

Nilianza kuisikia tangu 2022 miezi ya Mwanzoni na aliyetakiwa kum-replace ni huyo huyo Dotto.

Seems Mama anamwona Current PM ni threat kuelekea 2025 as ana support kubwa huku ground na hapendi vile anaendesha Nchi ukizingatia jamaa ni mfuasi wa sera za hayati.

Anyways, hongera Dotto kwa kushika wadhifa uliowahi kushikwa na Hayati Mrema kwa mara ya kwanza na mwisho.
 
Reform and Rebuilding at work.
To be precise there is nothing like the so called reform and rebuilding.

She has failed to adhere to the oath of office " I will obey , preserve , protect and defend this constitution of the URT as by law established and all other laws of the URT and that I will protect and uphold sovereignty , integrity and dignity of the people of URT"

Once you read between the lines she is just trying to subvert the will of the people from the DP world saga

History will judge her harshly for subjecting the country to this kind of perennial suffering just for comeuppance against her political nemesis
 
Hiki cheo cha unaibu waziri mkuu kilianzia wakati wa mzee Rukhsa, mama sasa kakirudisha tena. Kuna sababu za muhimu sana tena sana, kuliko unavyofikiria.

Ilikuwaje Mkapa alikifutilia mbali kisha Kikwete na Magufuli wala hawakuhangaika hata kukirudisha tena.Ni haki tuseme hiki cheo huwa kinawekwa na Marais watokao Unguja tu na akija Mbara atakifutilia mbali tena.
 
Mimi napata shida kuelewa ufikiri wa viongozi wetu. Kuna vyeo vingine ukivitazama huoni maana yake, ni kupoteza pesa za walipa kodi tu.

Waziri Mkuu ofisi yake ina Waziri mwingine wanaita sijui Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu. Ana wasaidizi chungu mzima, sasa sijui tatizo ni nini au ni kupenyezana ili kupeana ulaji. Au ni danganya toto kwa watu wa eneo fulani.
Doto hajapewa ulaji hapo, kama ni ulaji tayari anao tangu madini na sasa Nishati, kuna figisu za wanasiasa ukiwa nje huwezi kuzijuwa.
 
Ukiangalia kinachoendelea Magharibi na sakata la DPW yaweza kuwa ndio msukumo wa haya mabadiriko.Kama Makamba na Byabato wanaenda wizara moja kwa hali yoyote ile walikotoka wamefanya kazi nzuri na hao bado ni vijana wadogo je hapo mambo ya nje kuna kazi gani hasa ya kupeleka vijana wadogo hivyo.
 
Back
Top Bottom