Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Hakuna ujumbe wowote, hata ukimtazama Kassim Majaliwa unamuona kuwa yu mgonjwa-gonjwa. Hana afya njema, ni lazima apunguziwe mzigo, ana "underperform".

Kama si maradhi physically basi ana "depression".
Ifike mahali uache huu ujinga...

Kati ya wewe na Majaliwa nani anaonekana ana depression sasa..

Mtu mzima akili kisoda...
 
Ukiangalia kinachoendelea Magharibi na sakata la DPW yaweza kuwa ndio msukumo wa haya mabadiriko.Kama Makamba na Byabato wanaenda wizara moja kwa hali yoyote ile walikotoka wamefanya kazi nzuri na hao bado ni vijana wadogo je hapo mambo ya nje kuna kazi gani hasa ya kupeleka vijana wadogo hivyo.
Hao huenda wakakaa pale kwa miaka 7 kisha baada ya 2025 itajulikana, lengo likiwa ni kutambulishwa zaidi kimataifa khasa Makamba jnr.

Lakini sehemu zingine hao ni wakubwa kiumri nchi zingine mtu awa waziri kuanzia 35.
 
Hakuna jipya, it's business as usual.Niseme hivi,these changes are very cosmetic and clearly show how Samia is not interested in meeting the basic demands of Tanzanians.Kumuweka Makamba kwenye Wizara kama ya Mambo ya Nje shows how she is out of touch with the needs of Tanzanians.Ni muhimu Samia akasoma alama za nyakati.Matukio ya Mali,Burkina Faso,Niger na sasa Gabon,naomba yamuamshe usingizini.Uonevu waliokuwa wanafanyiwa wananchi wa nchi hizo hauna tofauti sana na uonevu tunaofanyiwa pia Watanzania.

Kwangu mapinduzi yanayokea Africa is a new dawn for Africa.Nadhani tawala zote kandamizi ambazo zimeibia watu wao rasilimali wakae mkao wa kula.

Kwa Tanzania haiwezekani baada ya miaka sitini na tatu ya Uhuru tukiwa na rasilimali nyingi kiasi hiki,bado watu wetu wengi hawana maji,na hata hao wachache wanaopata maji si safi na salama;watu wanakufa kwa sababu hawana huduma za afya;watoto wengine hawasomi kwa kuwa wazazi wao hawawezi kuwapeleka shule kwa kuwa hawana michango,madaftari na kalamu au uniform; Elimu inayotolewa ni chini ya kiwango,shule hazina mazingira mazuri ya kusomea na vitendea kazi;watu wetu hawana nyumba bora za kuishi ;watu wetu wanapata mlo mmoja tu kwa siku na wengine hawapati kabisa nk.nk..

No, lazima kama Watanzania tufike mahali tuseme hapana hii haivumiliki tena inatosha,na tufanye kitu ambacho kitatutoa kwenye uonevu huu
👍👍🙏
 
Ilimradi ametolewa Nishati hilo ndilo lilikuwa hitaji letu, hayo mengine mtajuana wenyewe ambao mna uwezo wa kuongea na Mungu hadi mnajuwa duniani mtaishi muda gani.
Mnaweza kufikiri ameliwa kichwa au amepotezwa kumbe mwenzenu ndo kawekwa kwenye njia ya kuelekea kwenye kile akitakacho..

January Yusufu Makamba ambition yake ni kuwa Rais wa JMT

Kupelekwa wizara ya Mambo ya nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki ni maandalizi..

Huyu ndiye mgombea U - Rais ajaye (2025) wa CCM. Hiyo wizara ndiyo huwa inatoa Marais kwa upande wa CCM..
 
Back
Top Bottom