Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Hao unaowataja Bashe na Serukamba hawawezi kuwemo kwenye baraza la Mawaziri la Magufuli. Take my point
Mkuu nakumbuka juzi juzi ulisema kitwanga lazima atatumbuliwa Lizaboni akabisha na kusema nisikuamini. haya sasa leo yametokea ataficha wapi uso wake huyu
umena Ukweli mkuu hafai Huyo .

Hususani Adad Rajab na Serukamba hawafai kuwa mawaziri wanapenda majungu sana pia Serukamba ni mlevi kupindukia Usiku yupo club mda mwingi Kama Le Mutuz .
Wewe january/ mpambe wa january, serukamba kakufanya nini? Hizo msg anazotuma huwa magufuli anakufowadia?
 
Bashe anafaa mkuu,Labda wewe ni kati ya wale waliokunywa rangi ya bendera ya chama(CCM).maana nyie hamna nia njema na nchi hii
Wewe njaa inakusumbuwa, ni nani anaweza kukupa uwaziri Somalia? Kama hujui kitu kaa kimya hii siyo serikali ya Msoga, Bashe ni msomali na ni mkurugenzi wa Habari corporation inayomilikiwa na Rostam Aziz Tycoon wa Panama paper, hivi Watanzania wenye nia njema wamekwisha mpaka serikali yetu tuwakabidhi mamluki?

Nyinyi kwa njaa zenu huko majimboni endeleeni kuwapa ubunge ila msahau mamluki hawa kuingizwa serikalini. Never.
 
Lizabon ni Fisadi mkubwa kupitia pesa za utetezi wa wezi yupo gheto Kwa Lugumi anaumwa pressure maana alikula pesa za kitwanga anahofia kudaiwa .
 
Duuu nina mashaka sana na adadi kama amebadilika vingevyo uhalifu utarudi pa'lepale
 
Haya madai yenu mnapokamatwa na vyombo husika kwenda kuthibitisha wengine wanatokwa povu,
Tusiongee kwa hisia zaidi kuliko uhalisia, lowassa asingemshinda magufuli kwa hali yyte Ile,
ndiyo maana mlitumia pesa nyingi hususani Wewe January umevuna sana kwenye kampeni iliyopita na sasa upo na kamati yako ya Ufundi mnapiga kazi Usiku na mchana upewe Wizara ya mambo ya ndani .
 
ndiyo maana mlitumia pesa nyingi hususani Wewe January umevuna sana kwenye kampeni iliyopita na sasa upo na kamati yako ya Ufundi mnapiga kazi Usiku na mchana upewe Wizara ya mambo ya ndani .
Wewe kweli funza, mimi makamba toka lini?
 
Mbona wote wanaotajwa kung'olewa na waliokuwa wakimpinga Lowasa na ambao aliapa kuwang'oa na wanaotajwa ni purely Pro Lowasa?

Raisi be careful !!
 
Mbona wote wanaotajwa kung'olewa na waliokuwa wakimpinga Lowasa na ambao aliapa kuwang'oa na wanaotajwa ni purely Pro Lowasa?

Raisi be careful !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…