Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Anafaa kwa vipi , substantiate your statement , it is not mere anafaa
Kama umeshamwangalia huyu mtu akichangia bungeni utakubaliana na mimi kwamba huyu jamaa ana kitu kichwani.watu kama hawa ndio inatakiwa wakae na JPM ambaye ameonyesha nia njema ya kubadilisha nchi hii.Huyu sio mtu wa kukubali kila jambo linalowekwa mezani,na anatetea kwa hoja.Binafsi namkubali sana
 
 

Wewe ulitaka iwaje kwa mfano? Kama kweli una akili timamu ya kuweza kuvalia nguo umeshindwa kabisa kufahamu kuwa tabia ya binadamu inaweza kubadilika? Wangapi wamebadilika pasipo wewe kutarajia na ukawa huna uwezo wa kuwafanya chochote? Mechanism za kiutawala kwa kulifahamu hili ndio maana wakaweka uwezekano wa utenguzi. Ndio maana katika moja ya udhaifu mkubwa wa katiba yetu ni wananchi kushindwa kuwawajibisha wabunge wao pindi wanapowachagua. Wabunge wengi waliochaguliwa wamebadilika na wananchi waliwaamini lakini hakuna cha kufanya. Kutengua ni moja ya dalili kuwa mtu anawajibika na anatekeleza kwa vitendo ya falsafa kuwa cheo ni dhamana. Kwani wewe unataka mtu akiteuliwa ndio afe nacho?

Kama the office is too big for this guy then, there is no any other person who fits there among the rest of us, at least he has reasonable muscles to wear it than the rest of us!
 
January Makamba hivi ni waziri wa nini?maana sisikikii kabisa kazi zake
Sasa hivi yupo busy na vibali vya sukari si unamjua Yule asili yake ni Dili Huku kwenye siasa huwa yupo tu na hasa Wizara yake ya muungano haipo busy sana baada ya kufanikisha kumsimika Dr shein sasa yupo anatumia fursa za Magufuli kujipatia chochote .
 
Lizabon ni Fisadi mkubwa kupitia pesa za utetezi wa wezi yupo gheto Kwa Lugumi anaumwa pressure maana alikula pesa za kitwanga anahofia kudaiwa .
Hahahaaa madai yake shariti....guu apasue msamba.
 
Mbona wote wanaotajwa kung'olewa ni waliojipambanua kuwa mahasimu wa Lowasa na wanaotajwa kuingia barazani ni purely Pro Lowasa?
 
Mbona wote wanaotajwa kung'olewa ni waliojipambanua kuwa mahasimu wa Lowasa na wanaotajwa kuingia barazani ni purely Pro Lowasa?
Hilo ndo swali la msingi la kujiuliza. Hata hivyo, nimemwambia mleta mada kuwa asahau Bashe na Serukamba kuwemo kwenye baraza la Mawaziri
 
Sasa hao ndio mawaziri ambao rais aliwachuja kwa miezi 3 halafu hawajamaliza hata robo mwaka lakini wanaonekana hawafai. Sasa nani wa kulaumiwa hapo. Aliyewateua au walioteuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…