comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Mwacheni Mh Rais afanye mabadiliko pale anapoona inafaa katika teuzi zake mbona hoja nyingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana Makonda atapewa Ubunge wa kuteuliwa kisha atakuwa Waziri wa mambo ya ndani au ??
Ummy is far better than your Kigwangallah.Kigwangala kamfunika ummy, JM hakustahili kuwepo kabisa kwenye serikali ya magufuli, Makamba na Nape ni watu ambao mara zote huwa nasema hawakustahili nafasi zao walitakiwa wabaki kwenye Chama Chao tu, Bashe sina shaka nae mbunge wangu wa nzega mjini namkubali sana tu,
Tatizo la hawa ccm bado wamekariri kuwa kazi yao ni kutetea Chama na kuteteana wao kwa wao, wanasahau huyu jamaa anaitazama Tanzania kama nchi bila kuangalia vyama,
Hakuna kitu bure kabisa.Mpaka sasa ummy ni miongoni mwa mawaziri bora kabisa, huwezi mlinganisha na ndalichako
Serukamba mda mwingi hutuma msg Kwa Magufuli kumchongea January Makamba na mawaziri wengine anajulikana Kwa Unafiki lakini habari za chini ya kapeti na Kwa mujibu wa Sangoma mkuu wa January Makamba ni kwamba Adad Rajab atakuwa naibu Waziri lakini Waziri kamili wa mambo ya ndani atapewa January au Mwakyembe Magufuli anataka kuweka watu wenye roho ngumu za kuwadhoofisha upinzani , hataki wanafiki Kama serukamba hao watapewa wizara zenye bajeti ndogo zisizo na heka heka kubwa .
Mwigulu pia huwa anaitamani sana Wizara ya mambo ya ndani hasa ukizingatia huwa ana kitabia ka Ubabe anapenda akae huko awakomoe wapinzani Kwa kuwapiga mabomu ya machozi .Huyo mguu nje mguu ndani, subilini
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.
2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Mkuu yule mama bado yupo kijiwe cha kazi nyingine au alisharudishwa kisirisiri kuficha udhaifu wa kukurupuka.Mh.Kairuki.....nauliza kama ni ndugu na yule mama shirika la uwekezaji ambaye atapangiwa kazi ingine kama yupo tayari.
She is supposed to be so. Kigwangallah is a deputy minister, and she is the boss.Ummy is far better than your Kigwangallah.
Serukamba bado yupo kote usimwamini hata siku moja Huyo ni mpenda majungu na kujipendekeza sana , mda mwingi yupo Kwa Mkapa akimwomba amsaidie kumwambia Magufuli ampatie japo unaibu Waziri .Mkuu naona ujasamehe effect ya team Lowassa baada ya Serukamba kukacha boti
Rais ikikosea kumpa bashe wizara ya maliasili aisee sijui tunaemjua tunajua kitakachofuata.
Interesting..