evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
hivi hao watu unaowasema siwafia ccm,.so mmeamini kuwa ccm haiitakii nchi hii mema,.sasa leo hii mwez wa kwanza anapiga fitina na majungu kwa rais ambae anapinga rushwa na ufisadi,..sasa je huwa mnaangalia nini kumpitisha mtu kuchukua fom ya urais???????????????2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
je angepita ingekuaje????????????????
na je hao wafia chama,kwanini msiwafukuze chamani ??????????wakati ushahidi mnao kuwa walikaa vikao kupinga juhudi za malaika,.zaid mnawakumbatia.,.umeamini kuwa kushabikia ccm inabidi uwe na akili fulani hivi amazing amazing,.husema vijana