Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Ndumbaru alipwaya sana, hasa kwenye Tourism. Jirani zetu Zambia na Kenya wanapaa kwenye mapato utalii

Waziri Ndumbaru alikuwa anakwamisha Ilani ya CCM, ya kufikisha watalii mil 5.

Waziri hajui utalii, hasikilizi wadau, na ni muoga.. hawezi kumshauri raisi

Kama hujui utalii, utamshauri Rais Nini?

Waziri mpya wa Utalii Chana, atakuja na mbinu mpya za kufanikisha Ilani ya CCM kuwa na tourists 5 million by ,2025
 
Kila siku kubadilisha tu , sijui huko wizarani kuna hali gani.
Tuone yatakayo tokea
 
Simbachawene alipwaya wizara aliyokuwepo naamini yeye ndie chanzo cha mabadiliko haya.
simbachawene ataweza mambo ya sera bungee na Nini sijui,,huyo bungeni Huwa anafit haswa
 
Ohoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri. Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.

Karudi Membe sasa anangojewa Emmanuel Nchimbi aingizwe serikalini na hapo ndio mtajua kuwa mtawala wa nchi ni mjomba wa Msoga!! Au bado mnabisha?

Pindi Chana kapelekwa kule kwenye Twiga na Pembe za ndovu ili wakakamilishe ujangili; wauza madawa ya kulevya wanatolewa jela kishikaji,

Huyu Mama hata haelewi kitu gani kinaendelea hajui hata KUWA kuna viongozi wa nchi wanaondolewa kwasababu ya mfumuko wa bei yeye anaelezea mfumuko wa bei nchini kimzaha mzaha tu!
 
Kinana ni swahiba wa Lowasa, wamasai hawahami tena.
hakuna mpango wa kuhamisha Masai,,walikua wameanza kuwa wengi na hivyo kuathiri balance of nature mbungani ,so Kuna juhudi ya kuwajengea mazingira ya baadhi kuhama Kwa hiari ili kujaribu ku low down population Yao mbugani,,,,,
 
unaweza kuniambia kwanini chadema imetulia tuli?[emoji23]
 
Inaonyesha sasa wana jiandaa na hoja bungeni. Covid wana ondoka wana pelekwa wabunge makini wa kuhoji. Pindi Chana hangeweza mapigo. Sasa Mgogo ana takiwa ajiandae kupambana.
Ndumbaro Wamaasai wamemponza.
simbachawene anapaweza sana tu. bungeni
 
hakuna mpango wa kuhamisha Masai,,walikua wameanza kuwa wengi na hivyo kuathiri balance of nature mbungani ,so Kuna juhudi ya kuwajengea mazingira ya baadhi kuhama Kwa hiari ili kujaribu ku low down population Yao mbugani,,,,,
Nani ahame kwa hiari?

Yaani waache malisho mabichi ya mifugo yao throughout the year kwenye crater waende kusikojulikana?

Subutu!
 
Bora udili na wanyama kuliko kwenda kutetea mradi wa Samia wa kupingwa katiba nzuri kwa Watanzania. Labda aondoke na Samia. Otherwise atakuwa kama Makonda, Kabudi, na wengineo wa aina hiyo wakati wa Magufuli na baada ya Magufuli kuondoka.
ushaambiwa,katiba mpya sio priority ya chama kilichoko madarakani,,kama una chama kinataka katiba mwakani,wapambane washinde viti bungeni
 
Adui mkubwa wa Sukuma gang alikuwa ndani ya CCM. Kwa ujinga wenu mkadhani adui yenu ni upinzani mkaanza kuwasakama kwa kesi na risasi. Mmekuja kugundua mauti iko mlangoni.
kilichotuponza wasukuma ni ushamba wa madaraka na kulewa vyeo,pia makuzi ya ukijijini[emoji23]
 
Background kitaaluma ni muhimu. Yasijejirudia ya yule Waziri aliyeshindwa kujibu maswali ya BBC kuhusu samaki wa Mapank.

All best learned Ministers.
 
Swali langu mm ni; huyo pindi chana anaweza hayo uliyosema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…