Bukali
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,264
- 835
Upuuzi tu uzuri hapa hakuna atakaye pona wapiga makofi namba tutaisoma tu.Tulia Msukuma , tunasafisha nchi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi tu uzuri hapa hakuna atakaye pona wapiga makofi namba tutaisoma tu.Tulia Msukuma , tunasafisha nchi...
Huyo huwa ana tabia ya ku-edit nyuzi zake za zamani ili aonekane alijua kabla[emoji23][emoji23]Huna unachojua tapeli mkubwa wee!
Ahahaha dad Vick wee Ni nomaOhoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri. Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.
simbachawene ataweza mambo ya sera bungee na Nini sijui,,huyo bungeni Huwa anafit haswaSimbachawene alipwaya wizara aliyokuwepo naamini yeye ndie chanzo cha mabadiliko haya.
lakini tembo ni muhimu kuliko Mtu mkuu,au hujui Hilo?[emoji23]Bora tu waishe. Yani Tembo anagharamikiwa na kuhudumiwa kuliko Mtanzania.
Ohoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri. Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.
hakuna mpango wa kuhamisha Masai,,walikua wameanza kuwa wengi na hivyo kuathiri balance of nature mbungani ,so Kuna juhudi ya kuwajengea mazingira ya baadhi kuhama Kwa hiari ili kujaribu ku low down population Yao mbugani,,,,,Kinana ni swahiba wa Lowasa, wamasai hawahami tena.
Juzi faru sijui abdul si alikufa kiajabu ajabu!.Tunajua idadi ya tembo wetu . Ole wao!!!
unaweza kuniambia kwanini chadema imetulia tuli?[emoji23]Si awamu ya nne ilikebehiwa kwa kuitwa ni watu wa dili na awamu ya mwendazake. Sasa zamani hizo za kejeri na kebehi zimekwisha pita.
Huu ni wakati wa sehemu zote muhimu ndani serikali na chama kurudishwa na kuwa sehemu ya wana mtandao. Kama we mwana CCM huwezi kupambana nao, basi jiunge nao.
Ama la, njoo upande wa CDM. Chama makini kipo tayari kutwaa na kukabidhiwa dola, ili Tanzania mpya ipate kuonekana.
Biashara ya meno ya tembo ilishakufa. Wacha kupotosha mamboTunajua idadi ya tembo wetu . Ole wao!!!
Ahahaha faru rajabu bhana etj abduli aise mm naogopaJuzi faru sijui abdul si alikufa kiajabu ajabu!.
simbachawene anapaweza sana tu. bungeniInaonyesha sasa wana jiandaa na hoja bungeni. Covid wana ondoka wana pelekwa wabunge makini wa kuhoji. Pindi Chana hangeweza mapigo. Sasa Mgogo ana takiwa ajiandae kupambana.
Ndumbaro Wamaasai wamemponza.
Nani ahame kwa hiari?hakuna mpango wa kuhamisha Masai,,walikua wameanza kuwa wengi na hivyo kuathiri balance of nature mbungani ,so Kuna juhudi ya kuwajengea mazingira ya baadhi kuhama Kwa hiari ili kujaribu ku low down population Yao mbugani,,,,,
ushaambiwa,katiba mpya sio priority ya chama kilichoko madarakani,,kama una chama kinataka katiba mwakani,wapambane washinde viti bungeniBora udili na wanyama kuliko kwenda kutetea mradi wa Samia wa kupingwa katiba nzuri kwa Watanzania. Labda aondoke na Samia. Otherwise atakuwa kama Makonda, Kabudi, na wengineo wa aina hiyo wakati wa Magufuli na baada ya Magufuli kuondoka.
kilichotuponza wasukuma ni ushamba wa madaraka na kulewa vyeo,pia makuzi ya ukijijini[emoji23]Adui mkubwa wa Sukuma gang alikuwa ndani ya CCM. Kwa ujinga wenu mkadhani adui yenu ni upinzani mkaanza kuwasakama kwa kesi na risasi. Mmekuja kugundua mauti iko mlangoni.
Tunajua idadi ya tembo wetu . Ole wao!!!
Swali langu mm ni; huyo pindi chana anaweza hayo uliyosema?Ndumbaru alipwaya sana, hasa kwenye Tourism. Jirani zetu Zambia na Kenya wanapaa kwenye mapato utalii
Waziri Ndumbaru alikuwa anakwamisha Ilani ya CCM, ya kufikisha watalii mil 5.
Waziri hajui utalii, hasikilizi wadau, na ni muoga.. hawezi kumshauri raisi
Kama hujui utalii, utamshauri Rais Nini?
Waziri mpya wa Utalii Chana, atakuja na mbinu mpya za kufanikisha Ilani ya CCM kuwa na tourists 5 million by ,2025