Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Toa huyu peleka pale mpe yule muache yule mkipenda ajirini familia zenu ila mwisho wa yote performance itawapa result huku mtaani.
 
Toa huyu peleka pale mpe yule muache yule mkipenda ajirini familia zenu ila mwisho wa yote performance itawapa result huku mtaani.
Mupe....Muruke....
Huyu MUNAWISHE...Huyu Hapana...
Huyu Mupe Maji
Huyu Mupe Fyanta
Huyu Balimi
Huyu Heineken
 
Maliasili imebadilishwa leo leo with immediate effect! Anyway acha tushangilie Sukuma Gang wanavyotiwa adabu [emoji3061]

Kwa zile siasa za kihayawani alizoleta dhalimu, acha msoga line wapige watakavyo.

Na kwakuwa dhalimu alijaza wabunge na madiwani wa ccm kwa kusema ni wazalendo, basi watetee hizo raslimali ili tujue dhambi aliyofanya mwendakuzimu na akasifiwa.
 
Pongezi kwa wateule wote.
Dr. Ndumbaro anapaswa aiweke hii wizara vizuri.
 
Mali asili na utalii bado haijapata mtu.
Mtu sahihi hiyo wizara ni Bashe
Naona unataka kuua Wizara ya Kilimo.

Haitafaa hata kidogo kumtoa Bashe Kilimo, Mali asili si pelekeni hata Dr. Musukuma?

Kwanza ataikuza Burigi jwa kiwango cha Serengeti.
 
KAMA KIPIMO CHA UADILIFU NI KINANA, MIMI NI MTAKATIFU!🤩🤩🤩
 
Back
Top Bottom