Mabadiliko Baraza la Mawaziri yanakuja muda wowote baada ya mkutano huu wa 12 wa Bunge hili kutamatika wiki hii

Cha ajabu ni kipi hapo ikiwa mpaka leo hajawahi kuunda serikali yake? Mpaka sasa serikali iliyopo ni ile iliundwa na JPM, Damia hajawahi kuunda serikali
 
Mama kama anasoma hii comment namshauri ampige chini Mwigulu na Makamba kwasababu ndo wanaomfanyia hujuma kwenye uongozi wake kwasababu nao wanautaka urais. Kiburi alichonacho Mwigulu ni sabotage kwa serikali ya awamu ya 6. Ninaamini huyu waziri huko aliko anacheka kimyakimya kufurahia kinachoendelea kwa sasa nchini. Apige chini wote wanaoutaka urais na kuhakikisha anawapiga pini hata baada ya kuwatumbua. Akiwachekea watazidi kumharibia.
 
Hatuoni kabisa tija kwenye mabadiliko anayofanya,labda anajifurahisha yeye mwenyewe tu.To most of us hata baada ya mabadiliko it's business as usual.We suggest mabadiliko yaanze na yeye mwenyewe.
 
Atakuwepo ofisini??
 
Kwani wabunge ni tofauti au hawa hawa? 🐼
Mfukuzeni yule mwizi wa maji (Juma Awezo) ni mwizi mkubwa haifai. Ni mwizi Kila mahali; anaingilia Kila mchakato. Kwenye uteuzi udiomhusu yupo kwenye kununua mabomba yupo kwenye wakandarazi yupo kwenye kuteua karibu mkuu yupo Kila mahali. Huyu haifai hata kuwa katibu kata ingawa anadanga wengi kwa media uchwara na kubeba mindoo na kutumbua wataalamu feki na kisanii
 
Jafo wa Shujaa Magufuli 😂😂
 
Kubadilisha mara kwa mara hains tija. Imebaki mwaka mpaka uchaguzi na mpaka sasa hauna winning team. Usisikilize majungu na maneno ya watu.
 
atakua amekunyoosha... UWESO sio mbaya kiutendaji.
 
Bila kubadili mfumo wake wa usimamizi, Mh Rais atabadili sana mawaziri bila improvement ya utendaji kazi.
 
Hapa Dar maeneo ya Ubungo tuna zaidi ya wiki mbili hatupati maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…