Mabadiliko Jeshi la Polisi: IGP Sirro ampeleka Kamanda Mambosasa Dodoma, Wambura amrithi kanda maalum Dar

Mabadiliko Jeshi la Polisi: IGP Sirro ampeleka Kamanda Mambosasa Dodoma, Wambura amrithi kanda maalum Dar

1621282674073.jpeg
 
Inasomeka Daniel Shilla nae kapata shavu Dar. Nadhani ndie baba yake Papaa Prophet Daniel Shilla?
 
Muliro ni RPC Mwanza
Muroto RPC Dom
Wambura Chief of Upelelezi Police HQ Dom ndo katolewa kaletwa Dar na mambosasa kaenda kuwa Mkuu wa Upelelezi Makao makuu ya Polis Dodoma
Kweli Muliro namchanganya na wa Dom.
 
Safi sana Poti wangu mkubwa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shavu hilo Kubwa. Hii nafasi ilikuwa inakusubiria Kitambo tu na najua huyu aliyetolewa alikuwa akikufitinisha sana na Wakubwa zako ili Yeye asitolewe hapo kwa Kulindwa Kwake na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Kiukweli sikuwahi kuona Jipya la Kiutendaji kwa Mambosasa zaidi tu ya Ubabe, Ukatili, Vitisho na Roho Mbaya yake aliyoambukizwa vyema na Rafiki yake Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa mbovu kuwahi kutokea katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Sumu ya vimelea vya BAKTERIA yaani Comrade Makonda ndiye mkuu wa mkoa wa Dar mbovu kuliko wote ?!! 🤣🤣🤣Khaa Genta ndugu yangu nawe umeamua kufanya majungu na tarnish image eeee?!! Haya bnaa "mtutsi" wa bongo....
 
Back
Top Bottom