Mabadiliko Jeshi la Polisi: IGP Sirro ampeleka Kamanda Mambosasa Dodoma, Wambura amrithi kanda maalum Dar

Mabadiliko Jeshi la Polisi: IGP Sirro ampeleka Kamanda Mambosasa Dodoma, Wambura amrithi kanda maalum Dar

Upelelezi Makao Makuu, yaani limamboleo lilivyo na misifa limehamishwa kwa simu tu kweli haya makazi ni ya kipuuzi sana
Asante kumbe ni kifupi ch upelelezi.
Mabosasa alitesa sana upinzani. Naona likafie huko DDM. Jitu katili sana, hivi linazaliwa mkoa gani?
 
Najiuliza tu kwanini yule kamanda ambaye mama alitaka aletwe dar kwanini hajamleta au hana vogezo vya kuwa kanda maalumu kama mkuu wa police?

Dar inasumbuliwa na rushwa kwa police so mleteni jamaa asaidie

Maelekezo ya mama tufike sehemu yawe yanafanyiwa kazi haraka.View attachment 1789202
Yule si ndo CP Hamduni?? Nahisi hivyo
 
Yule Afande Muliro alikuwa Mkoa gani?
Nadhani unashindwa kuelewa. Dodoma RPC ni Muroto siyo huyo unayemuita Muliro. Huyu Mambosasa anakwenda Dodoma makao makuu ya polisi kuwa kamanda wa operation (Chief of Operation) siyo RPC.
 
Binafsi nawafamu wote tena kwa ukaribu.
Mambosasa ni mtu makini sana na mwenye kufikiri hata pale anapopewa amri. Hupenda kujiongeza na kushauri kabla ya kutenda.
Wambura ni mbombezi hasa ktk upepelezi, askari wa chini hawawezi kumdanganya kitu na wawe makini wanapompa taarifa.
 
Atulie aangalie Jeshi la polisi linafanya vipi kazi ktk awamu hii ya mama maana alishindwa kujiwekea akiba ya baadae kwa kuiga ulofa wa mwendazake.
 
Kiri upokeaji wa simu hii kwa utekelezaji, OVER![emoji16]
 
Wote waliofanya urafiki na Bashite wameishia kuangukia Pua
Yule Mkuu wa JKT (Kwa Sasa Mkuu wa.Mkoa) aliyepandishwa vyeo Chap Chap na Mwendazake, kutoka Colenel Mpaka 2 Stars General alikuwa Rafiki za wa Bashite.
Kutoka kuwa Mkuu wa JKT Mpaka kuwa RC
Au sio!
 
Haya mambosasa akasome magazeti makao makuu ya polisi.
Chief of operation (mkuu wa operation). Operations zote za jeshi la police ziko chini yake. Yeye ndiye mtoa order kwenye operation yoyote ifanyike. Kuwa makao makuu, Police HQ siyo kusoma magazeti kama ambavyo wengi wamekariri. Watu wanafikiri akiwa ni RPC ndiyo kila kitu. Makao makuu ya polisi kuna kazi za kufanya kama kawaida. Huyu kaondolewa tu kwenye kuwa direct na watu hasa kwenye makanera ya vyombo vya habari kama tulivyomzoea.
 
Sisi tulitaka tu aondolewe kama DPP maana wote hawana staha, operation zake zitatusaidia nini?
 
Kapelekwa makao makuu Dom nafasi aliyokuwa nayo huyo anayekuja kumrithi
Kapanda daraja. Maana katoka Mji maarufu kwenda makao makuu ya Tanzania nzima. Viongozi wote wa chama, wabunge na serikali ngazi ya juu wapo pale. Kuwalinda hao si kazi mchezo.

Du, Mambosasa ana Nyota kali. Akitoka hapo ni ukuu wa polisi TZ.
 
Chief of operation (mkuu wa operation). Operations zote za jeshi la police ziko chini yake. Yeye ndiye mtoa order kwenye operation yoyote ifanyike. Kuwa makao makuu, Police HQ siyo kusoma magazeti kama ambavyo wengi wamekariri. Watu wanafikiri akiwa ni RPC ndiyo kila kitu. Makao makuu ya polisi kuna kazi za kufanya kama kawaida. Huyu kaondolewa tu kwenye kuwa direct na watu hasa kwenye makanera ya vyombo vya habari kama tulivyomzoea.
Atulie ofisini asome magazeti.
 
Back
Top Bottom