Mabadiliko Jeshi la Polisi: IGP Sirro ampeleka Kamanda Mambosasa Dodoma, Wambura amrithi kanda maalum Dar

Duh..

Vile Genta amesema mimi ni nani hadi nimpinge huyu poti.
 
Wote waliofanya urafiki na Bashite wameishia kuangukia Pua
Yule Mkuu wa JKT (Kwa Sasa Mkuu wa.Mkoa) aliyepandishwa vyeo Chap Chap na Mwendazake, kutoka Colenel Mpaka 2 Stars General alikuwa Rafiki za wa Bashite.
Kutoka kuwa Mkuu wa JKT Mpaka kuwa RC
 
😆😆😆😆
 
Mbona nchi ilikuwa imetulia kwa sababu ya hao mnaowaita makatili?

Hii nchi kuna watu washenzi sana wasumbufu wanaojifanya watemi wakati serikali ipo.Akitokea polisi ana burgain na wahalifu,tutarudi kwa kasi enzi za watemi wa zamani mfano huku kanda ya ziwa walikuwepo akina Zacharia na wababe wengine wa ziwa Victoria.

Polisi lazima awe katili,maana nchi hii imejaa mijitu mikatili vile vile.Na hatupendi kusikia maandamano ya kisiasa,tunataka kusikia hoja zenye lengo la kujenga nchi na si kuyumbisha serikali
 
Duh

Amri, mbona miaka mingine hatujaona ikiandikwa amri au kuna mtu anapata hofu kuwa anaweza kudondoshwa
Hiyo ndiyo lugha ya jeshi, si kweli kuwa agizo haliandikwi hivyo, labda kwakua miaka mengine" hamkuwahi kabisa kuona maagizo haya, ni mambo mageni kwenu.
 
Wote waliofanya urafiki na Bashite wameishia kuangukia Pua
Yule Mkuu wa JKT (Kwa Sasa Mkuu wa.Mkoa) aliyepandishwa vyeo Chap Chap na Mwendazake, kutoka Colenel Mpaka 2 Stars General alikuwa Rafiki za wa Bashite.
Kutoka kuwa Mkuu wa JKT Mpaka kuwa RC

Umesahau kuwa Sirro nae alikuwa RPC wa Dar. na rafiki ya Bashite akaukwaa kuwa IGP enzi ya Mwendazake?
 
Kuwai kutokea Tanzania.
 
Karibu Wambura bye bye misifa Mambosasa ingawa wore ni wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…