Mabadiliko Jeshi la Polisi: IGP Sirro ampeleka Kamanda Mambosasa Dodoma, Wambura amrithi kanda maalum Dar

Ni kijiwe tu aisee,
 
Wamtupe huko Kigoama huyu mwendawazimu akawasimulie habari za risasi kukata kona
 
Uandishi wa barua za kijeshi raha sana, hata barua imeandikwa kibabe 'amri', 'kili kupokea', 'someka', 'mwisho', yaani hakuna cha ooh boss mimi, sijui unajua kuna... 😁
 
Uko sahihi, sidhani kama kwa sasa kuna Afisa wa Polisi wa ngazi ya juu anayemshinda Mambosasa kwa umbea na fitina.
 
Najiuliza tu kwanini yule kamanda ambaye mama alitaka aletwe dar kwanini hajamleta au hana vogezo vya kuwa kanda maalumu kama mkuu wa police?

Dar inasumbuliwa na rushwa kwa police so mleteni jamaa asaidie

Maelekezo ya mama tufike sehemu yawe yanafanyiwa kazi haraka.

 
Huyu Mambosasa kasababisha kazi ya police kwa wengi ionekane n yai kihuni kabisa..
Mijitu inauwa watuhumiwa..wanapora watuhumiwa..wanabambikia watu kesi..wizi na uhalifu kila mahali katika Mkoa wa Dsm.
 
Aende tu na zile Drama zake za Mo dewji etc , hakuna alichofanya zaidi ya kuhangaika na Siasa tu Camilius anapaweza Dar maana hata alivyokua Kinondoni alikua anamfunika Mamboleo ndiomaana wakamletea figisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…