Asante kumbe ni kifupi ch upelelezi.Upelelezi Makao Makuu, yaani limamboleo lilivyo na misifa limehamishwa kwa simu tu kweli haya makazi ni ya kipuuzi sana
Yule si ndo CP Hamduni?? Nahisi hivyoNajiuliza tu kwanini yule kamanda ambaye mama alitaka aletwe dar kwanini hajamleta au hana vogezo vya kuwa kanda maalumu kama mkuu wa police?
Dar inasumbuliwa na rushwa kwa police so mleteni jamaa asaidie
Maelekezo ya mama tufike sehemu yawe yanafanyiwa kazi haraka.View attachment 1789202
Nadhani unashindwa kuelewa. Dodoma RPC ni Muroto siyo huyo unayemuita Muliro. Huyu Mambosasa anakwenda Dodoma makao makuu ya polisi kuwa kamanda wa operation (Chief of Operation) siyo RPC.Yule Afande Muliro alikuwa Mkoa gani?
Hiyo ndiyo taarifa ya polisi, wenyewe wanasema simu au order. Inatoka kikamandakamanda.Hii taarifa mbona imekaa kiubabe sanaView attachment 1788994
sio kwa jeshi tu hata kwa watumishi wengine mabadiliko huwa ni ya kawaidaMabadiliko ya kawaida kwenye jeshi km la polisi.
He!!! I can't you people!! Mnapataje hizi taarifa nyeti realtime?
Afande Sirro ni askari mwema, ila amepata bahati mbaya sana kufanya kazi na katili Magu, amemchafua sana.Wangemstaafisha kabisa huyu; Sirro naye anatakiwa aondoke
Au sio!Wote waliofanya urafiki na Bashite wameishia kuangukia Pua
Yule Mkuu wa JKT (Kwa Sasa Mkuu wa.Mkoa) aliyepandishwa vyeo Chap Chap na Mwendazake, kutoka Colenel Mpaka 2 Stars General alikuwa Rafiki za wa Bashite.
Kutoka kuwa Mkuu wa JKT Mpaka kuwa RC
Chief of operation (mkuu wa operation). Operations zote za jeshi la police ziko chini yake. Yeye ndiye mtoa order kwenye operation yoyote ifanyike. Kuwa makao makuu, Police HQ siyo kusoma magazeti kama ambavyo wengi wamekariri. Watu wanafikiri akiwa ni RPC ndiyo kila kitu. Makao makuu ya polisi kuna kazi za kufanya kama kawaida. Huyu kaondolewa tu kwenye kuwa direct na watu hasa kwenye makanera ya vyombo vya habari kama tulivyomzoea.Haya mambosasa akasome magazeti makao makuu ya polisi.
Alimezwa na siasa ni mpuuzi sanaMambosasa tulijua tu he is a gone case.
Wambura siku nyingi mtendaji makini.
Sisi tulitaka tu aondolewe kama DPP maana wote hawana staha, operation zake zitatusaidia nini?Chief of operation (mkuu wa operation). Operations zote za jeshi la police ziko chini yake. Yeye ndiye mtoa order kwenye operation yoyote ifanyike. Kuwa makao makuu, Police HQ siyo kusoma magazeti kama ambavyo wengi wamekariri. Watu wanafikiri akiwa ni RPC ndiyo kila kitu. Makao makuu ya polisi kuna kazi za kufanya kama kawaida. Huyu kaondolewa tu kwenye kuwa direct na watu hasa kwenye makanera ya vyombo vya habari kama tulivyomzoea.
Kapanda daraja. Maana katoka Mji maarufu kwenda makao makuu ya Tanzania nzima. Viongozi wote wa chama, wabunge na serikali ngazi ya juu wapo pale. Kuwalinda hao si kazi mchezo.Kapelekwa makao makuu Dom nafasi aliyokuwa nayo huyo anayekuja kumrithi
Atulie ofisini asome magazeti.Chief of operation (mkuu wa operation). Operations zote za jeshi la police ziko chini yake. Yeye ndiye mtoa order kwenye operation yoyote ifanyike. Kuwa makao makuu, Police HQ siyo kusoma magazeti kama ambavyo wengi wamekariri. Watu wanafikiri akiwa ni RPC ndiyo kila kitu. Makao makuu ya polisi kuna kazi za kufanya kama kawaida. Huyu kaondolewa tu kwenye kuwa direct na watu hasa kwenye makanera ya vyombo vya habari kama tulivyomzoea.
☺ Baada ya mwendazake bavicha mmechukua jukumu lakusifu, mataga hatuna chetu tenaSafi sana !
Mimi nilikuwa wa kwanza kuagiza Mambosasa aondolewe kwa kashfa ya kushiriki mauaji ya Akwilina , wakati huo wewe ulishangilia mauaji haya☺ Baada ya mwendazake bavicha mmechukua jukumu lakusifu, mataga hatuna chetu tena