Mabadiliko kutoka Building Better Tomorrow - BBT mpaka kuwa Building Bashe Tomorrow - BBT

Kuna vitu mnavikwepa. Serikali inagharamia hawa vijana malazi na chakula kwa miezi minne.

Baada ya miezi minne wataishije? Wapo walioenda huko na watoto, hapo ndio niliona kama hatupo serious

Kilimo ili kupata faida itakuchukua muda mrefu sana, Sasa najiuliza wao wanao mtaji wa kujilisha na kujihudumia kwa muda wote hadi waanze kulima na kuvuna na kuuza?
 
Bashe anachukua mawazo ya nadharia ya kina Carol Ndossi na kuyatekeleza kwenye wizara, hatari sana, hichi kilimo cha iPad sijui kitatufikisha wapi?? Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kila kinyozi anaweza kujifunzia kunyoa
Alichotafuta bashe ni support kutoka mitandaoni , ndio maana niliona nguvu kubwa sana ya kuwatumia walewale watu kumsifia siku anatoa bajeti ya kilimo
 
Hisia zako zisizo na uhalisia wa kitaalamu......
 
Ni mda wa watu waliopo serikalini kula na kuiba watakavyo,uchambuzi wako upo sahihi asilimia mia,tujiulizr kwa nini kila waziri na viongozi wote nchini kote nyakati hizi ndipo wanabuni vimiradi vya kupiga hela,,tatizo washauna huko juu kumelegea nao wanautumia mda huuu kula kwa walivyoambiwa Ila wasivimbiweeeee
 
Usiwe mjinga wewe sasa gharama ya kufyeka pori na kusafisha hekta 1 ndiyo iwe zaidi ya TSh 4,000,000/=!

Fisadi koko wee!
we kijana legeza ubongo kidogo pale hazikufyekwa nyasi yalikua mapori tena misitu yenye miti mikubwa imetumika technology kibwa hadi likaitwa shamba
 
Trilioni 16! Mwingine alitaka trilioni 1 kuboresha miundombinu ya Tanesco! JPM alisema hii nchi haina tatizo la fedha, tatizo lipo kwenye vipaumbele na ufisadi alafu baadae tunakimbizana na mikopo hadi matumizi ya kawaida tunakopa.
 
Huo mchaganuo haihusiani na malazi au chakula cha hao watu. Huo ni mchanganuo kwa hekta na yeye bashe kupitia wizara ndio walioutoa. Pia sio kwa Dodoma tu huo ndio mchaganuo wataotumia kufanya kwenye mikoa mingine yote

Lengo ni hekta milioni 1 na wamepanga kutumia trillion 17
 
Wozara ya kilimo nayo sasa ina pesa nyingi sana ndio maana lazima iingie kwenye upigaji!!mbona miaka ya nyuma hukuwahi kusikia!!sasa kuna mipesa mingi imemwagwa huko watu lazima watafute njia za kuzipiga!!
 
Niameshaawahi kusema huko nyuma kuwa mama huwa happendi hata kidogo kusumbua akili yake kuhusu mambo magumu yanayoiumiza nchi hii
 
Kama waziri katika wizara yake shughuri za walengwa wake zinapanda huyo ni waziri Bora.
Lakini waziri katika wizara yake shughuri za walengwa wake zina Shukla soko huyo hafai ktk wizara hiyo
 
Wozara ya kilimo nayo sasa ina pesa nyingi sana ndio maana lazima iingie kwenye upigaji!!mbona miaka ya nyuma hukuwahi kusikia!!sasa kuna mipesa mingi imemwagwa huko watu lazima watafute njia za kuzipiga!!
Budget ya kilimo ilikua ndogo.
Ndiyo maana wakulima wakawa maskini .
Acheni sasa iwe zamu yao
 
Bashe Kamatia hapo hapo usisikilize hao nyumbu wasio na msaada Kwa wakulima na Vijana wa Nchi hii.
 
Bashe anapata kibri kwa godfather wake Muajemi ambaye anajulikana kuwa ndiye Kingmaker wa nchi hii.
 
Ndiyo maajabu ya chief Hangaya haya na msoga Gang yake.
 
Tusihamishe magoli,tujadili hoja iliyopo mezani kwanza mleta hoja tumuweke kiporo kwanza kwani hoja hapa ni fedha inayotajwa ni kodi zetu.
 
Bashe anachukua mawazo ya nadharia ya kina Carol Ndossi na kuyatekeleza kwenye wizara, hatari sana, hichi kilimo cha iPad sijui kitatufikisha wapi?? Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kila kinyozi anaweza kujifunzia kunyoa
Samia kapigwa na kitu kizito sana
 
Hawa wahutu dawa yao inachemka tutwarudisha kwao Burundi walikozoea kuchinjana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…