Mabadiliko kutoka Building Better Tomorrow - BBT mpaka kuwa Building Bashe Tomorrow - BBT

NAOMBA NIKAE KIMYA MANA NAANDIKA NAFUTA NAANDIKA NAFUTA.

NILITAKA NITOE KOMENTI NZITO HAPA LKN NAKAA KIMYA.


Ila sijui wenzangu hawauumii na hili swala la ufisadi mimi linaniuumiza sana, Ila siku ambayo kutakuwa na tuandamano kidogo na nikabahatika kuwa maeneo ya karibu.

Arooo!!, Nitaitumia nafasi hyo bila kuoga kwa mawe, virungu na mabomu ya petroli.


HALAFU KINACHOUUMA HATA UPINZANI WENYEWE HAWAKO TYR KUSHIKA NCHI NI WALEWALE WALAMBA ASALI
 
Bashe na timu ya bbt ni wapuuzi kupita kiasi tena wasio na huruma kwa vijana Wala nchi
 
Huo ndiyo ukweli wenyewe.yaani unaandaa shamba gharama ya milioni16.5 faida utapata shilingi ngapi.?mfano kikawaida hekta moja ya mpunga unapata gunia 55-60(kwa mbegu nzuri kama TXD360(saro5)ukiwa umezingatia vigezo vyote.Bei ya mauzo ikiwa nzuri kiwango cha juu cha mwisho ni 120000.gunia 60Γ—120000=7.200.000.kwa maana hiyo ni mradi wa hasara kwa serikali
 
Mpunga unalimia wapi chief
 
Bashe ni wa asili ya kisomali wa Somalia. Amezaliwa katika biashara na atafia humo, sasa, unafikiri yupo hapo kutangaza dini?
Wizara ya Kilimo ngumu sana, aidha, hakuna wizara nzuri kupiga na kutajirika ukiwa ktk ngazi kama ya Bashe kama kilimo.
 
hakuna shamba Wala ndugu yake shamba alilo pewa kijana yeyote Tang mwezi wa 3 zaidi ya kiwapotezea muda na future zao vijana, alaf Leo anawaambia waende kwao wakapumzike bila hata 100 bila kujali vijana wana familia waliko toka na tangu mwezi wa 3 hawajaingiza hata 100 sijui wanaenda kuishi vipi uko makwao
 
Wizara ya kilimo ingetumia hayo mabilioni kuwapa mbolea na madawa wakulima ambao tayari walishaanza kulima wenyewe. Hata kama sio bure kabisa wangeongeza hela zaidi kwenye ruzuku ya mbolea. Au wangewawezesha mitaji wakulima ambao tayari wako shambani na sio serikali kuingia field na kufanya yenyewe. Pia ingetumia pesa kiasi kufanya utafiti wa masoko na kuwatafutia wakulima masoko.

Kilichofanywa na Bashe na kinachoendelea kufanywa hakina faida yoyote kwa nchi zaidi ya kujijenga kisiasa. Hiyo BBT haina tofauti na zile kampeni feki za utunzaji mazingira kuvaa Tshirts zenye maneno ya kiharakati na kwenda kufagia lami au kusafisha beach huko Msasani. Mimi nilisafisha shamba lilikuwa pori kama eka 6 sikutumia zaidi ya milioni. Hiyo milioni 4.75 kwa hekta moja ni upigaji.

Mawaziri wajitazame kama wanafaa. Vinginevyo Rais anaweza akawapiga chini na kuwateua hata wapinzani wazalendo kama Yericko Nyerere au Fahmi Dovutwa.
 
Bashe anachukua mawazo ya nadharia ya kina Carol Ndossi na kuyatekeleza kwenye wizara, hatari sana, hichi kilimo cha iPad sijui kitatufikisha wapi?? Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kila kinyozi anaweza kujifunzia kunyoa

[emoji23][emoji23]
 
Bashe anachukua mawazo ya nadharia ya kina Carol Ndossi na kuyatekeleza kwenye wizara, hatari sana, hichi kilimo cha iPad sijui kitatufikisha wapi?? Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kila kinyozi anaweza kujifunzia kunyoa

[emoji23][emoji23]
 
wizara ya kitapeli tu hiyo isha haribu ndo za vijana zaidi ya 700 kwa kuwateka tangu 17/03/2023 hadi leo hamna hata kijana Alie pewa hata heka 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…