Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri yanalenga kumsogeza January mahali patakatifu?

Yule kipara ngwidu hana mvuto wa kiuongozi hata kidogo, hata wamng'arishe vipi hawezi kung'aa, useless kabisa 🚶🚶🚶🚶
Si Mkatoliki ?.
 
 

Habari hizi zimfikie yule Mzee wa Tandamti Mohamed Said
 
unaona mbali vizuri, safi..
 
Acha wang'ang'anize yatokee ya Gabon
 
Kwan uku ni Zanzibar ambako waislamu ni wengi?
 
Hao ni wakristo wa kweli au wanamajina ya kikristo?
 
Soma taratibu kijana usikimbilie keyboard.
Tazama kati ya maRais 6 wangapi wametokea Mambo ya Nje ?.Kama si kundi la Lowassa ndani ya CCM Membe angekuwa Rais.Magu Dodo lilimdondokea.
Na hili dodo lililomdondokea limewafundisha viongozi tabia mbaya ya kutumbua tumbua hata mambo ambayo yanavumilika na wanatumia huu mwanya kuteua watu wao wanaohisi watakwenda na matakwa yao.

Yaani awamu ya 5 na 6 ndo imeongoza Kwa tenguzi na teuzi tangu nchi ipate Uhuru aisee (viongozi walioteuliwa na systems sidhani hata kama wapo wengi kama miaka ya nyuma)
 
Crap!
Udini utakuua..!
 
Stergomena Tax amerudishwa kuwa Waziri wa Ulinzi. She is faithful and dedicated elite.
 
hivi unaweza kujua imani/dini mtu kwa kuangalia jina lake?
 
Soma taratibu kijana usikimbilie keyboard.
Tazama kati ya maRais 6 wangapi wametokea Mambo ya Nje ?.Kama si kundi la Lowassa ndani ya CCM Membe angekuwa Rais.Magu Dodo lilimdondokea.
Mkuu habari,
Issue hapa ipo hivi ngoja nikueleze ukweli.
Sio kwamba January anatafutiwa nafasi ya kiwa rais, hapana bali Samia anatafuta waungaji mkono kwaajili ya uchaguzi mkuu wa 2025 kwasababu tayari mambugi wanae mtu ambae inabidi achukue nafasi hiyo 2025, huyu mtu hatoki katika familia pendwa za waramba asali.

Lakini issue ya January makamba kuhamishwa hamishwa wizara ni kwasababu ya kwenda kutumika,
1.Kutafuta pesa kwa kuingia mikataba nyonyaji (yaani makamba hapa natumika kama master kiraka)
2.Kwenda kutafuta waungaji mkono wa Samia

Kwa sababu hizi nilizozieleza hapo juu January anaweza kujitafutia mwenyewe uungwaji mkono na ndio anachofanya kumzunguka na kuwazunguka mabosi zake. Lakini amini kwamba January hata kuja kuwa rais wa nchi hii hata afanyaje.

Kukurukara zote hizi ni za dying horse.

Yangu ni hayo kwasasa.
 
unashindwa huku unahamishiwa huku...naona anaeteua naye anashida
Shida hawataki kufanya Kazi na wasiowafahamu, serikalini inatakiwa use tayari kufanya Kazi na yoyote, zamani unakuta 70%_ya wateule systems ndo inawapeleka alafu hiyo inayobaki ndo mtu anapanga watu wake Wa kusafiri na ndoto yake. Sasa hivi mtu from January to December no panga pangua. Na bahati mbaya mawaziri wenyewe wakija kwetu wanatuambia wanatekeleza maono ya rais
 
Wizara ya mambo ya nje sio pahala patakatifu acheni kukariri

Membe alikuwa Rais????

Magufuli alikuwa mambo ya nje?????
SOMA kwa kuelewa mkuu.

Angalao aifahamu diplomasia. Msingi Ni kumweka karibu na diolomasia ya duania.

Uzoefu unaonyesha mkapa, jk na hata ukiangalia kwa makini mataifa Yale makini ili uwe raisi angalao uijue diplomasia, Sheria au uchumi.

Kuna wenzetu huko dunia ya kwanza ktk wale cream ya juu ya watu watatu angalao fani tatu ziwepo, mchumi , mwanasheria, mwanadiplomasia.

Inakua kolabo ya Aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…