Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
[emoji16][emoji16]eti KIPARA NGWIDUYule kipara ngwidu hana mvuto wa kiuongozi hata kidogo, hata wamng'arishe vipi hawezi kung'aa, useless kabisa [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16]eti KIPARA NGWIDUYule kipara ngwidu hana mvuto wa kiuongozi hata kidogo, hata wamng'arishe vipi hawezi kung'aa, useless kabisa [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Siyo pombe tu alimkataa hta wananchi tunamjua ni kimeoSiku CCM ya Msoga italazimisha Makamba kua Rais.
Jeshi litachukua Nchi.
Makamba alishakataliwa na John Pombe Magufuli.
unadhani anaweza kuzuia jeshi kupindua nchi?Stergomena Tax amerudishwa kuwa Waziri wa Ulinzi. She is faithful and dedicated elite.
Sasa unataka watu wasihoji ama?Hii mijadala ya wasi wasi wenu na hisia zenu ndivyo vitakavyomfikisha Makamba kwenye hicho kiti na wala sio hao wazee.
Ninyi ndio mnamtengenezea njia kwa kumjadili kila mara maana ndani ya mijadala hiyo mbinu na ramani za ushindi vinatandazwa, bahati mbaya ama makusudi ila matokeo ni maamuzi yenu.
You create the truth you want to inhabit.
Sasa unataka watu wasihoji ama?
Umenena mkuu hakuna chochote atakachofanyaHuko mahala patakatifu atafanya kazi gani wakati hizi kazi nyepesi kashindwa
Ni mtazamo tuJamani.
Kama uko Tanzania, Jitahidi utoke kitandani kwanza, uswaki kinywa chako then utafute kikombe cha ‘chai ya rangi’ halafu ukiwa unakunywa taratibu nisome tena.
Unaruhusiwa kuongeza kikombe kingine na kunisoma angalau mara mbili zaidi kabla hujaninukuu tena.
Ahsante.
Hahaha mkuu sijasema hivyo. Muhimu kila kiongozi anateua watu wake au kupanga Safu yake anavyoona inafaa. Hakuna wa kupinfua nchi Tanzania. Iko imara. Kazi Iendelee.unadhani anaweza kuzuia jeshi kupindua nchi?
January ni Kilaza ambaye hatokaa aje kuwa Raisi wa hii nchi asilaniHeshima sana wanajamvi,
Nayatazama mabadiliko madogo baraza la mawaziri kama sehemu ya mkakati wa kumwinua January Makamba kuelekea kileleni (IKULU) baada ya Wizara ya Nishati kumshinda. Kuendelea kumbakiza wizara hiyo hiyo ilikuwa ni kumharibia kisiasa.
Najua watu wengi wamekimbilia kushangaa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko,lakini nyuma ya pazia WAZEE wa Msoga Camp safari hii hawataki kukosea kama ilivyokuwa kipindi kile cha 2015.Mzee Magufuli hakuwa chaguo lao mazingira au kivumbi cha Lowassa kiliwasababishia kufanya maamuzi bila hesabu sahihi.
January Makamba anaandaliwa maandalizi kabambe bila WAZEE wa Kanda pendwa kushtuka.Mchezo unaochezwa ni kuanzisha cheo kisichokuwepo kikatiba cha NAIBU WAZIRI MKUU kwa lengo la kuwazubaisha WAZEE wa Kanda pendwa kwamba kumbe wao ni sehemu ya walamba asali,hawana haja ya kulalamika wametengwa, hawapendwi, si sehemu ya watoto pendwa.
Vurugu za chama kileeeee kule kanda pendwa hakika kuwastua wapanga mikakati umuhimu wa kumwandaa mwanasiasa kutokea huko kwa lengo la kumtumia baadae kutimiza malengo yao hasa ahadi ya kuhakikishiwa nafasi ya Mzee wa Korosho.
January Makamba kapelekwa pale Foreign Affairs kupata uzoefu baada ya kushindwa vibaya sana Nishati.Katuachia mgao wa umeme,kashindwa kupanga na kupangika mfumo mzima wa manunuzi ya mafuta.Kaondoka Nishati hali ikiwa tete.
Mtangulizi wake Kalemani kasambaza umeme wa REA karibu vijiji vyote kaingia January REA hakuna kila kitu shabala bagala.NISHATI ilimshanda Makamba hana ujuzi zaidi ya kubebwa na mfumo wa walamba asali.