Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri yanalenga kumsogeza January mahali patakatifu?

Hii mijadala ya wasi wasi wenu na hisia zenu ndivyo vitakavyomfikisha Makamba kwenye hicho kiti na wala sio hao wazee.

Ninyi ndio mnamtengenezea njia kwa kumjadili kila mara maana ndani ya mijadala hiyo mbinu na ramani za ushindi vinatandazwa, bahati mbaya ama makusudi ila matokeo ni maamuzi yenu.







You create the truth you want to inhabit.
 
Acha wang'ang'anize yatokee ya Gabon
Wanajeshi wakipindua huwa wanabaka wake kwa waume...

Ni binadamu kama wanasiasa tu....wakiikamata dola huwa hawataki kutoka/kuachia....mateso huwa makubwa zaidi ya ufikiriavyo....

#SiempreJMT[emoji120]
 

Haya ni matapishi katikati ya sahani ya chakula.


Ushabiki wa kidini utawaponza siku moja.
 
Kaondoka wizarani 1990 na hakwenda kuwa Rais direct acheni kukariri

Kina Malecela,Asha Rosé na wengine wengi walikuwa maRais?
Akili za tik tok hizi

Watu wanazungumzia kwamba Mkapa, JK walipitia kwenye diplomasia.

Unaleta utoto,umekaza fuvu km vile una hoja!
 
Niliandika hapa ikaungwa
 
Wamemtoa doto kwenye industry anayoijua nje ndani wameenda kumpigisha shoti kwenye lawama za umeme!..noma sana hawa watu!....mtoto mpendwa (kipara)wamempeleka wizara ambayo wabongo hawana muda nayo(haina lawama baada ya kuchemka vibaya nishati

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Akili za tik tok hizi

Watu wanazungumzia kwamba Mkapa, JK walipitia kwenye diplomasia.

Unaleta utoto,umekaza fuvu km vile una hoja!
Membe hakuwa na dogo janja kipara ngoto hatakuwa mark my words na muache ujinga wa kukariri mambo 😏
 
Tena hii mijadala ife Kwa sababu hawezi kuwa kamwe mnampaisha bure
 
Uko sahihi kabisa huyo jamaa ameshakataliwa hadi mbinguni tuombe uzima tutarudi hapa kuwaambia si tulisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…