Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri yanalenga kumsogeza January mahali patakatifu?

Sasa unataka watu wasihoji ama?
 
Sasa unataka watu wasihoji ama?

Jamani.


Kama uko Tanzania, Jitahidi utoke kitandani kwanza, uswaki kinywa chako then utafute kikombe cha ‘chai ya rangi’ halafu ukiwa unakunywa taratibu nisome tena.

Unaruhusiwa kuongeza kikombe kingine na kunisoma angalau mara mbili zaidi kabla hujaninukuu tena.

Ahsante.
 
Ni mtazamo tu
 
unadhani anaweza kuzuia jeshi kupindua nchi?
Hahaha mkuu sijasema hivyo. Muhimu kila kiongozi anateua watu wake au kupanga Safu yake anavyoona inafaa. Hakuna wa kupinfua nchi Tanzania. Iko imara. Kazi Iendelee.
 
January ni Kilaza ambaye hatokaa aje kuwa Raisi wa hii nchi asilani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…