Mabadiliko ndani ya CCM badala ya kuleta matumaini yamewavuruga wengi na kesho ya Taifa la Tanzania

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa.

Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa Taifa alituachia na sasa hiki chama kama wao wenyewe wanavyo jinasibu ni chama cha wenyewe. "CCM ina wenyewe" jambo hili sii tu linazuwa mgogoro ndani ya chama ambao ktk macho hatuuwoni ila pia unaligawa taifa na mwisho kitakacho tokea wengi tutabaki midomo wazi.

Nikweli kabisa naungana na vyombo vya ulinzi na usalama na hata viongozi wakuu wa taifa hili kwamba huko mbeleni upo mpango kuligawa taifa hili kwa ukanda na hata muungano na yakwamba ccm ndio njia pekee kuzuwia jambo hilo kutoka na mifumo tayari mmejiwekea. Lakini pia nilazima tukubaliane njia pekee kudhibiti mgawanyiko na mtengano sio ccm kuwa chama tawala kwasababu dunia ya sasa na ile tunaelekea vyombo vya ulinzi na usalama nilazima vijikite ktk kulinda taifa na mipaka yake, uchumi na masoko na kuingia ktk vyama vya siasa kwa mlango wa nyuma kupata taarifa na kushauri vyama pasipo kuingia au kusimamia chaguzi. Hii nitofauti sana kwetu hapa Tz na hili nimekuwa nikisema nikitisho ktk usalama wa Taifa kama tunakubali au laa mimi nasema kwa mawazo yangu nikitisho.

Idara zetu za usalama na zakijasusi zimeingia ktk mfumo nakuwa vyombo vyakuweka watawala kupitia chama kimoja while kwa upande mwingine vikiwa sehem ya machafuko hujuma ndani ya vyama vya upinzani. Hili nijambo zuri lakini wakati haya yanaendelea dunia inazidi ku advance ktk maswala ya kiusalama mbaya kuliko yote kwa sababu tumekiangalia chama kimoja ccm wenye akili wanazidi ku advance na kuusoma mfumo jambo na wao wanafanya vile mnafanya jambo lina zuwa tahatuki ndani ya chama na taifa.

Nilazima tujiulize pamoja na nguvu zote mifumo imetumia ila upinzani unazidi kushamiri na mbaya kuliko yote upinzani unazidi kuongeza ushawishi kwa watanzania kuliko wakati mwingine wowote ule na jambo lakutisha ndani ya chama yanaibuka makundi kila mara jambo hayati Mzee Magufuli hakuliweza na mwisho lilimuweka mtu kati mpaka umauti.

Sisi kama Taifa hatujachelewa wana ccm na vyama pinzani hawajachelewa na idara zetu hazija chelewa. Mtu kusema ccm ina wenyewe ni matusi sorry kusema hivyo kwasababu niukweli usiopingika bila idara nyeti za taifa na usalama ccm haipo. Pesa na Rasilimali watu tunatumia ccm kuwa madarakani nibora kukubali ya akina Tanu kuke Kenya.

Maana vita ya Urais ndani ya ccm inaigawa idara nyeti na taasisi zake why? Ask Kenyani waliojikuta wakiuwana kwasababu ya siasa. Kila anaye utaka urais anawatu ndani ya idara na wote wanataka mtu wao ashinde ndani ya chama hicho hicho kinachotokea nikupandikiziana mamluki ndani ya same chama namwisho ni wakwanza kumuwahi mwenzake ndio anakula nyama.

Vita kama hii ilikitesa sana chama cha tanu mpaka wazee na watu wenye busara waliposema inatosha inatosha ndio hii tunaiyona Kenya ya leo.

Ccm chini ya carpet ina tengeneza makundi mawili au matatu hatari kwa usalama wa chama na taifa pia maana wao ndio wenye serikali.

Kundi la kwanza ni la wale wanasema ccm inawenyewe ukiwaangalia ni vigogo na watoto wa high level office walio wahi tumikia taifa hili jambo wamelisahau nikukumbuka wapo waliokianzisha chama na watoto wao hawapo kwa namna moja au nyingine ila nao ni wana tanu na ccm ya sasa.

Kundi la wanachama wakawaida waliojiunga vyuoni na kwenye mashina kwa sababu binafsi na sasa washaujuwa mchezo wanataka wafike kilele ila wanakutana na nguvu ya ccm yenye wenyewe. Kundi hili nikubwa sana na linanguvu sana na kwa taarifa zisizo Rasmi Namba 1 alie ondoka ndie alikuwa na hili kundi na ndio alio hakikisha wengi wanaenda bungeni na sasa wengi wamebaki yatima. Kundi hili lina vijana wasomi kutoka familia maskini ambao wazazi wao hawakuwa wakati CCM inaanza au walifukuzwa ndani ya chama.

Kundi la watoto wa vigogo ambao wazazi wao walikuwa wanachama ila kutokana na uwaminifu na uwadilifu hawakupata umaarufu wa wenzao wengi wanaitwa vijana wa Nyerere. Pia hawa wanamafungamano na vyama vya upinzani. Ndio kizazi cha wale wa kwenye space kama unafuwatilia.

Haya makundi ndani ya ccm ni swala la muda yatakuwa kitisho
 
Kundi la watoto wa vigogo ambao wazazi wao walikuwa wanachama ila kutokana na uaminifu na uadilifu hawakupata umaarufu wa wenzao wengi wanaitwa vijana wa Nyerere.

Wazazi wao walichelewa kwa kujifanya wazalendo leo watoto ndiyo wanashangaa wenzao wakiogelea na bata mtoni.
 
Unamaanisha mleta mada ni lile kundi la vijana wa Nyerere ndiyo maana analalamika?
 
Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa.

Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa Taifa alituachia na sasa hiki chama kama wao wenyewe wanavyo jinasibu ni chama cha wenyewe. "CCM ina wenyewe" jambo hili sii tu linazuwa mgogoro ndani ya chama ambao ktk macho hatuuwoni ila pia unaligawa taifa na mwisho kitakacho tokea wengi tutabaki midomo wazi.

Nikweli kabisa naungana na vyombo vya ulinzi na usalama na hata viongozi wakuu wa taifa hili kwamba huko mbeleni upo mpango kuligawa taifa hili kwa ukanda na hata muungano na yakwamba ccm ndio njia pekee kuzuwia jambo hilo kutoka na mifumo tayari mmejiwekea. Lakini pia nilazima tukubaliane njia pekee kudhibiti mgawanyiko na mtengano sio ccm kuwa chama tawala kwasababu dunia ya sasa na ile tunaelekea vyombo vya ulinzi na usalama nilazima vijikite ktk kulinda taifa na mipaka yake, uchumi na masoko na kuingia ktk vyama vya siasa kwa mlango wa nyuma kupata taarifa na kushauri vyama pasipo kuingia au kusimamia chaguzi. Hii nitofauti sana kwetu hapa Tz na hili nimekuwa nikisema nikitisho ktk usalama wa Taifa kama tunakubali au laa mimi nasema kwa mawazo yangu nikitisho.

Idara zetu za usalama na zakijasusi zimeingia ktk mfumo nakuwa vyombo vyakuweka watawala kupitia chama kimoja while kwa upande mwingine vikiwa sehem ya machafuko hujuma ndani ya vyama vya upinzani. Hili nijambo zuri lakini wakati haya yanaendelea dunia inazidi ku advance ktk maswala ya kiusalama mbaya kuliko yote kwa sababu tumekiangalia chama kimoja ccm wenye akili wanazidi ku advance na kuusoma mfumo jambo na wao wanafanya vile mnafanya jambo lina zuwa tahatuki ndani ya chama na taifa.

Nilazima tujiulize pamoja na nguvu zote mifumo imetumia ila upinzani unazidi kushamiri na mbaya kuliko yote upinzani unazidi kuongeza ushawishi kwa watanzania kuliko wakati mwingine wowote ule na jambo lakutisha ndani ya chama yanaibuka makundi kila mara jambo hayati Mzee Magufuli hakuliweza na mwisho lilimuweka mtu kati mpaka umauti.

Sisi kama Taifa hatujachelewa wana ccm na vyama pinzani hawajachelewa na idara zetu hazija chelewa. Mtu kusema ccm ina wenyewe ni matusi sorry kusema hivyo kwasababu niukweli usiopingika bila idara nyeti za taifa na usalama ccm haipo. Pesa na Rasilimali watu tunatumia ccm kuwa madarakani nibora kukubali ya akina Tanu kuke Kenya. Maana vita ya Urais ndani ya ccm inaigawa idara nyeti na taasisi zake why? Ask Kenyani waliojikuta wakiuwana kwasababu ya siasa. Kila anaye utaka urais anawatu ndani ya idara na wote wanataka mtu wao ashinde ndani ya chama hicho hicho kinachotokea nikupandikiziana mamluki ndani ya same chama namwisho ni wakwanza kumuwahi mwenzake ndio anakula nyama.
Vita kama hii ilikitesa sana chama cha tanu mpaka wazee na watu wenye busara waliposema inatosha inatosha ndio hii tunaiyona Kenya ya leo.

Ccm chini ya carpet ina tengeneza makundi mawili au matatu hatari kwa usalama wa chama na taifa pia maana wao ndio wenye serikali.
Kundi la kwanza ni la wale wanasema ccm inawenyewe ukiwaangalia ni vigogo na watoto wa high level office walio wahi tumikia taifa hili jambo wamelisahau nikukumbuka wapo waliokianzisha chama na watoto wao hawapo kwa namna moja au nyingine ila nao ni wana tanu na ccm ya sasa.
Kundi la wanachama wakawaida waliojiunga vyuoni na kwenye mashina kwa sababu binafsi na sasa washaujuwa mchezo wanataka wafike kilele ila wanakutana na nguvu ya ccm yenye wenyewe. Kundi hili nikubwa sana na linanguvu sana na kwa taarifa zisizo Rasmi Namba 1 alie ondoka ndie alikuwa na hili kundi na ndio alio hakikisha wengi wanaenda bungeni na sasa wengi wamebaki yatima. Kundi hili lina vijana wasomi kutoka familia maskini ambao wazazi wao hawakuwa wakati ccm inaanza au walifukuzwa ndani ya chama.
Kundi la watoto wa vigogo ambao wazazi wao walikuwa wanachama ila kutokana na uwaminifu na uwadilifu hawakupata umaarufu wa wenzao wengi wanaitwa vijana wa Nyerere. Pia hawa wanamafungamano na vyama vya upinzani. Ndio kizazi cha wale wa kwenye space kama unafuwatilia.
Haya makundi ndani ya ccm ni swala la muda yatakuwa kitisho
Yawe tishio zaidi ili kuharakisha kufikia mwisho wao🤸
 
Mkuu!aiseh!!Lawama zangu ni KWA deep state !!kama na WAO ni wanaccm Basi ni laana KWA Taifa hili!!kama wapo neutral ni kwanini wameacha ccm imekaa muda mrefu madarakani Hadi imezaa uovu!!?Walikuwa na NAFASI kubwa Sana ya Kuilinda ccm na ikapendwa na watu KWA kuifanya Kuwa chama cha UPINZANI!!!ungepata muda wa kujisahihisha!!
 
Nakunukuu; "Idara zetu za usalama na ujasusi zimeingia katika mfumo na kuwa sehemu ya kuweka watawala, huku kwa upande mwingine wakiwa sehemu ya kuleta machafuko kwa vyama vya upinzani...hili ni jambo zuri"

Hapo juu umeshakiri idara ya usalama wa taifa inawasaidia CCM na mnafurahia vile wapinzani wanavyoteswa kwa manufaa yenu na chama chenu.

Huu ni ubinafsi, mnawaona wapinzani hawana haki, na kwasababu mna tabia za kibinafsi ndio maana unaendelea kuwatafuna mpaka ndani ya chama chenu kwa kuwepo makundi.

Sasa nikwambie kitu, kutokana na kazi inayofanywa na hiyo idara, makundi ndani ya CCM hayatakwisha, na siku zote kundi linaloongoza serikali ndilo litalindwa na hiyo idara ya usalama.

Hivyo huu ushauri wako wa kuua makundi hauwezi kutokea hata mara moja kwasababu makundi yote husababishwa na tamaa za madaraka.

Nimeshangaa zaidi ulipoandika andiko lako lote bila kukutana na maneno Katiba Mpya [Rasimu ya Warioba], hii ndiyo itakayokuja kuwaondolea hayo makundi huko chamani kwenu.

Usitegemee hata siku moja hayo makundi yataondolewa na aliyepo madarakani, kwani hata nyie mlishindwa kuyaondoa wakati mkishika hatamu, sasa ni zamu ya wenzenu kula na bahati mbaya wanakula walewale sio wapya ndio maana unaumia.
 
Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa.

Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa Taifa alituachia na sasa hiki chama kama wao wenyewe wanavyo jinasibu ni chama cha wenyewe. "CCM ina wenyewe" jambo hili sii tu linazuwa mgogoro ndani ya chama ambao ktk macho hatuuwoni ila pia unaligawa taifa na mwisho kitakacho tokea wengi tutabaki midomo wazi.

Nikweli kabisa naungana na vyombo vya ulinzi na usalama na hata viongozi wakuu wa taifa hili kwamba huko mbeleni upo mpango kuligawa taifa hili kwa ukanda na hata muungano na yakwamba ccm ndio njia pekee kuzuwia jambo hilo kutoka na mifumo tayari mmejiwekea. Lakini pia nilazima tukubaliane njia pekee kudhibiti mgawanyiko na mtengano sio ccm kuwa chama tawala kwasababu dunia ya sasa na ile tunaelekea vyombo vya ulinzi na usalama nilazima vijikite ktk kulinda taifa na mipaka yake, uchumi na masoko na kuingia ktk vyama vya siasa kwa mlango wa nyuma kupata taarifa na kushauri vyama pasipo kuingia au kusimamia chaguzi. Hii nitofauti sana kwetu hapa Tz na hili nimekuwa nikisema nikitisho ktk usalama wa Taifa kama tunakubali au laa mimi nasema kwa mawazo yangu nikitisho.

Idara zetu za usalama na zakijasusi zimeingia ktk mfumo nakuwa vyombo vyakuweka watawala kupitia chama kimoja while kwa upande mwingine vikiwa sehem ya machafuko hujuma ndani ya vyama vya upinzani. Hili nijambo zuri lakini wakati haya yanaendelea dunia inazidi ku advance ktk maswala ya kiusalama mbaya kuliko yote kwa sababu tumekiangalia chama kimoja ccm wenye akili wanazidi ku advance na kuusoma mfumo jambo na wao wanafanya vile mnafanya jambo lina zuwa tahatuki ndani ya chama na taifa.

Nilazima tujiulize pamoja na nguvu zote mifumo imetumia ila upinzani unazidi kushamiri na mbaya kuliko yote upinzani unazidi kuongeza ushawishi kwa watanzania kuliko wakati mwingine wowote ule na jambo lakutisha ndani ya chama yanaibuka makundi kila mara jambo hayati Mzee Magufuli hakuliweza na mwisho lilimuweka mtu kati mpaka umauti.

Sisi kama Taifa hatujachelewa wana ccm na vyama pinzani hawajachelewa na idara zetu hazija chelewa. Mtu kusema ccm ina wenyewe ni matusi sorry kusema hivyo kwasababu niukweli usiopingika bila idara nyeti za taifa na usalama ccm haipo. Pesa na Rasilimali watu tunatumia ccm kuwa madarakani nibora kukubali ya akina Tanu kuke Kenya.

Maana vita ya Urais ndani ya ccm inaigawa idara nyeti na taasisi zake why? Ask Kenyani waliojikuta wakiuwana kwasababu ya siasa. Kila anaye utaka urais anawatu ndani ya idara na wote wanataka mtu wao ashinde ndani ya chama hicho hicho kinachotokea nikupandikiziana mamluki ndani ya same chama namwisho ni wakwanza kumuwahi mwenzake ndio anakula nyama.

Vita kama hii ilikitesa sana chama cha tanu mpaka wazee na watu wenye busara waliposema inatosha inatosha ndio hii tunaiyona Kenya ya leo.

Ccm chini ya carpet ina tengeneza makundi mawili au matatu hatari kwa usalama wa chama na taifa pia maana wao ndio wenye serikali.

Kundi la kwanza ni la wale wanasema ccm inawenyewe ukiwaangalia ni vigogo na watoto wa high level office walio wahi tumikia taifa hili jambo wamelisahau nikukumbuka wapo waliokianzisha chama na watoto wao hawapo kwa namna moja au nyingine ila nao ni wana tanu na ccm ya sasa.

Kundi la wanachama wakawaida waliojiunga vyuoni na kwenye mashina kwa sababu binafsi na sasa washaujuwa mchezo wanataka wafike kilele ila wanakutana na nguvu ya ccm yenye wenyewe. Kundi hili nikubwa sana na linanguvu sana na kwa taarifa zisizo Rasmi Namba 1 alie ondoka ndie alikuwa na hili kundi na ndio alio hakikisha wengi wanaenda bungeni na sasa wengi wamebaki yatima. Kundi hili lina vijana wasomi kutoka familia maskini ambao wazazi wao hawakuwa wakati CCM inaanza au walifukuzwa ndani ya chama.

Kundi la watoto wa vigogo ambao wazazi wao walikuwa wanachama ila kutokana na uwaminifu na uwadilifu hawakupata umaarufu wa wenzao wengi wanaitwa vijana wa Nyerere. Pia hawa wanamafungamano na vyama vya upinzani. Ndio kizazi cha wale wa kwenye space kama unafuwatilia.

Haya makundi ndani ya ccm ni swala la muda yatakuwa kitisho
Acha longolongo bana weee!!! shika bango la "KATIBA MPYA" maneno meeeengi unalialia nini sasa
 
Sasa mbona mmempigia Kinana kura kwa 100%….ingetokea kura za hapana za kutosha tungeelewa km mnavutana…

Kiukweli mimi natamani mpasuke vipande ili kuwe na upinzani wa kweli…kuna namna yoyote kundi la Lowasa la kipindi kile na kundi la watoto wa wakulima kuungana ili wapambane na hao wenye CCM yao…
 
Unazunguka mno na mada isiyoeleweka hii.
Ondoa takataka zote unazoremba nazo..., , 'the centre of gravity' kwa sasa hivi inashikiliwa na Kikwete.

Kama unataka kuchambua, anzia hapo kwa Kikwete, vinginevyo usitupotezee muda na andiko refu lisiloeleweka.
 
Mkuu!aiseh!!Lawama zangu ni KWA deep state !!kama na WAO ni wanaccm Basi ni laana KWA Taifa hili!!kama wapo neutral ni kwanini wameacha ccm imekaa muda mrefu madarakani Hadi imezaa uovu!!?Walikuwa na NAFASI kubwa Sana ya Kuilinda ccm na ikapendwa na watu KWA kuifanya Kuwa chama cha UPINZANI!!!ungepata muda wa kujisahihisha!!
Hiyo dipu siteti ipo chini ya nani?
Mkuu wa dipu siteti anateuliwa na nani?
Dipu siteti wasilaumiwe,walaumiwe akina jumba la Ndugai.
KATIBA MPYA eti haileti ugali
 
Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa.

Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa Taifa alituachia na sasa hiki chama kama wao wenyewe wanavyo jinasibu ni chama cha wenyewe. "CCM ina wenyewe" jambo hili sii tu linazuwa mgogoro ndani ya chama ambao ktk macho hatuuwoni ila pia unaligawa taifa na mwisho kitakacho tokea wengi tutabaki midomo wazi.

Nikweli kabisa naungana na vyombo vya ulinzi na usalama na hata viongozi wakuu wa taifa hili kwamba huko mbeleni upo mpango kuligawa taifa hili kwa ukanda na hata muungano na yakwamba ccm ndio njia pekee kuzuwia jambo hilo kutoka na mifumo tayari mmejiwekea. Lakini pia nilazima tukubaliane njia pekee kudhibiti mgawanyiko na mtengano sio ccm kuwa chama tawala kwasababu dunia ya sasa na ile tunaelekea vyombo vya ulinzi na usalama nilazima vijikite ktk kulinda taifa na mipaka yake, uchumi na masoko na kuingia ktk vyama vya siasa kwa mlango wa nyuma kupata taarifa na kushauri vyama pasipo kuingia au kusimamia chaguzi. Hii nitofauti sana kwetu hapa Tz na hili nimekuwa nikisema nikitisho ktk usalama wa Taifa kama tunakubali au laa mimi nasema kwa mawazo yangu nikitisho.

Idara zetu za usalama na zakijasusi zimeingia ktk mfumo nakuwa vyombo vyakuweka watawala kupitia chama kimoja while kwa upande mwingine vikiwa sehem ya machafuko hujuma ndani ya vyama vya upinzani. Hili nijambo zuri lakini wakati haya yanaendelea dunia inazidi ku advance ktk maswala ya kiusalama mbaya kuliko yote kwa sababu tumekiangalia chama kimoja ccm wenye akili wanazidi ku advance na kuusoma mfumo jambo na wao wanafanya vile mnafanya jambo lina zuwa tahatuki ndani ya chama na taifa.

Nilazima tujiulize pamoja na nguvu zote mifumo imetumia ila upinzani unazidi kushamiri na mbaya kuliko yote upinzani unazidi kuongeza ushawishi kwa watanzania kuliko wakati mwingine wowote ule na jambo lakutisha ndani ya chama yanaibuka makundi kila mara jambo hayati Mzee Magufuli hakuliweza na mwisho lilimuweka mtu kati mpaka umauti.

Sisi kama Taifa hatujachelewa wana ccm na vyama pinzani hawajachelewa na idara zetu hazija chelewa. Mtu kusema ccm ina wenyewe ni matusi sorry kusema hivyo kwasababu niukweli usiopingika bila idara nyeti za taifa na usalama ccm haipo. Pesa na Rasilimali watu tunatumia ccm kuwa madarakani nibora kukubali ya akina Tanu kuke Kenya.

Maana vita ya Urais ndani ya ccm inaigawa idara nyeti na taasisi zake why? Ask Kenyani waliojikuta wakiuwana kwasababu ya siasa. Kila anaye utaka urais anawatu ndani ya idara na wote wanataka mtu wao ashinde ndani ya chama hicho hicho kinachotokea nikupandikiziana mamluki ndani ya same chama namwisho ni wakwanza kumuwahi mwenzake ndio anakula nyama.

Vita kama hii ilikitesa sana chama cha tanu mpaka wazee na watu wenye busara waliposema inatosha inatosha ndio hii tunaiyona Kenya ya leo.

Ccm chini ya carpet ina tengeneza makundi mawili au matatu hatari kwa usalama wa chama na taifa pia maana wao ndio wenye serikali.

Kundi la kwanza ni la wale wanasema ccm inawenyewe ukiwaangalia ni vigogo na watoto wa high level office walio wahi tumikia taifa hili jambo wamelisahau nikukumbuka wapo waliokianzisha chama na watoto wao hawapo kwa namna moja au nyingine ila nao ni wana tanu na ccm ya sasa.

Kundi la wanachama wakawaida waliojiunga vyuoni na kwenye mashina kwa sababu binafsi na sasa washaujuwa mchezo wanataka wafike kilele ila wanakutana na nguvu ya ccm yenye wenyewe. Kundi hili nikubwa sana na linanguvu sana na kwa taarifa zisizo Rasmi Namba 1 alie ondoka ndie alikuwa na hili kundi na ndio alio hakikisha wengi wanaenda bungeni na sasa wengi wamebaki yatima. Kundi hili lina vijana wasomi kutoka familia maskini ambao wazazi wao hawakuwa wakati CCM inaanza au walifukuzwa ndani ya chama.

Kundi la watoto wa vigogo ambao wazazi wao walikuwa wanachama ila kutokana na uwaminifu na uwadilifu hawakupata umaarufu wa wenzao wengi wanaitwa vijana wa Nyerere. Pia hawa wanamafungamano na vyama vya upinzani. Ndio kizazi cha wale wa kwenye space kama unafuwatilia.

Haya makundi ndani ya ccm ni swala la muda yatakuwa kitisho
Porojo tu hizi hakuna pointi
 
Back
Top Bottom