Mabadiliko ndani ya CCM badala ya kuleta matumaini yamewavuruga wengi na kesho ya Taifa la Tanzania

Hiki chama kitamfia huyu Mama kama kilivyokuwa kinamfia Kikwete kwa kundekeza umbea na unafiki wa Mze Makamba.
 
Hatari sana. Matumani ndani ya CCM hayapo tena hasa kwa vijana wanao jiunga sasa.

CCM imebki kuwa ya familia chache tu.
 
hivi ni lini hii nchi Rushwa iliisha?....

Mkuu tunapojadili haya mambo tuweke ushabiki pembeni ili tutatue tatizo..

Rushwa ni kansa iliyopo kwenye ubongo wa watanzania kuanzia mtoaji na mpokeaji... Maisha yetu wengi wetu hayajanyooka kutokana na mifumo na sisi wenyewe hili husababisha wengi kuwa watoaji rushwa wazuri ili mambo yaende, wapokea rushwa nao hutumia mwanya wa kutonyooka kwetu kuchelewesha mambo ili utoe rushwa..

Rushwa haijawahi kwisha Tanzania, inategemea unamishe mishe gani mjini na unaodeal nao akina nani, awamu iliyopita ilikuwa na watu wake wenye uwezo wa kupokea rushwa bila shida na wasifanywe chochote ( hapa nazungumzia rushwa kubwa kubwa) huku chini kila mtu alikuwa na uwezo wa kupokea bila shida.....

Huwezi kuimaliza rushwa bila kuweka mifumo mizuri ya maisha kwa watu wote, tena utamaliza zile ndogo ndogo ila rushwa kubwakubwa never sahau hizi hata USA, CHINA, UK zipo...
Changamoto sahivi mkuu rushwa imekuwa ya waziwazi sn, kweli awamu ya 5 rushwa ilibaki kwa wakubwa wachache kama Makonda, Mnyeti, Sabaya n.k this time imerudi kwa kila mtu
 
Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa.

Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa Taifa alituachia na sasa hiki chama kama wao wenyewe wanavyo jinasibu ni chama cha wenyewe. "CCM ina wenyewe" jambo hili sii tu linazuwa mgogoro ndani ya chama ambao ktk macho hatuuwoni ila pia unaligawa taifa na mwisho kitakacho tokea wengi tutabaki midomo wazi.

Nikweli kabisa naungana na vyombo vya ulinzi na usalama na hata viongozi wakuu wa taifa hili kwamba huko mbeleni upo mpango kuligawa taifa hili kwa ukanda na hata muungano na yakwamba ccm ndio njia pekee kuzuwia jambo hilo kutoka na mifumo tayari mmejiwekea. Lakini pia nilazima tukubaliane njia pekee kudhibiti mgawanyiko na mtengano sio ccm kuwa chama tawala kwasababu dunia ya sasa na ile tunaelekea vyombo vya ulinzi na usalama nilazima vijikite ktk kulinda taifa na mipaka yake, uchumi na masoko na kuingia ktk vyama vya siasa kwa mlango wa nyuma kupata taarifa na kushauri vyama pasipo kuingia au kusimamia chaguzi. Hii nitofauti sana kwetu hapa Tz na hili nimekuwa nikisema nikitisho ktk usalama wa Taifa kama tunakubali au laa mimi nasema kwa mawazo yangu nikitisho.

Idara zetu za usalama na zakijasusi zimeingia ktk mfumo nakuwa vyombo vyakuweka watawala kupitia chama kimoja while kwa upande mwingine vikiwa sehem ya machafuko hujuma ndani ya vyama vya upinzani. Hili nijambo zuri lakini wakati haya yanaendelea dunia inazidi ku advance ktk maswala ya kiusalama mbaya kuliko yote kwa sababu tumekiangalia chama kimoja ccm wenye akili wanazidi ku advance na kuusoma mfumo jambo na wao wanafanya vile mnafanya jambo lina zuwa tahatuki ndani ya chama na taifa.

Nilazima tujiulize pamoja na nguvu zote mifumo imetumia ila upinzani unazidi kushamiri na mbaya kuliko yote upinzani unazidi kuongeza ushawishi kwa watanzania kuliko wakati mwingine wowote ule na jambo lakutisha ndani ya chama yanaibuka makundi kila mara jambo hayati Mzee Magufuli hakuliweza na mwisho lilimuweka mtu kati mpaka umauti.

Sisi kama Taifa hatujachelewa wana ccm na vyama pinzani hawajachelewa na idara zetu hazija chelewa. Mtu kusema ccm ina wenyewe ni matusi sorry kusema hivyo kwasababu niukweli usiopingika bila idara nyeti za taifa na usalama ccm haipo. Pesa na Rasilimali watu tunatumia ccm kuwa madarakani nibora kukubali ya akina Tanu kuke Kenya.

Maana vita ya Urais ndani ya ccm inaigawa idara nyeti na taasisi zake why? Ask Kenyani waliojikuta wakiuwana kwasababu ya siasa. Kila anaye utaka urais anawatu ndani ya idara na wote wanataka mtu wao ashinde ndani ya chama hicho hicho kinachotokea nikupandikiziana mamluki ndani ya same chama namwisho ni wakwanza kumuwahi mwenzake ndio anakula nyama.

Vita kama hii ilikitesa sana chama cha tanu mpaka wazee na watu wenye busara waliposema inatosha inatosha ndio hii tunaiyona Kenya ya leo.

Ccm chini ya carpet ina tengeneza makundi mawili au matatu hatari kwa usalama wa chama na taifa pia maana wao ndio wenye serikali.

Kundi la kwanza ni la wale wanasema ccm inawenyewe ukiwaangalia ni vigogo na watoto wa high level office walio wahi tumikia taifa hili jambo wamelisahau nikukumbuka wapo waliokianzisha chama na watoto wao hawapo kwa namna moja au nyingine ila nao ni wana tanu na ccm ya sasa.

Kundi la wanachama wakawaida waliojiunga vyuoni na kwenye mashina kwa sababu binafsi na sasa washaujuwa mchezo wanataka wafike kilele ila wanakutana na nguvu ya ccm yenye wenyewe. Kundi hili nikubwa sana na linanguvu sana na kwa taarifa zisizo Rasmi Namba 1 alie ondoka ndie alikuwa na hili kundi na ndio alio hakikisha wengi wanaenda bungeni na sasa wengi wamebaki yatima. Kundi hili lina vijana wasomi kutoka familia maskini ambao wazazi wao hawakuwa wakati CCM inaanza au walifukuzwa ndani ya chama.

Kundi la watoto wa vigogo ambao wazazi wao walikuwa wanachama ila kutokana na uwaminifu na uwadilifu hawakupata umaarufu wa wenzao wengi wanaitwa vijana wa Nyerere. Pia hawa wanamafungamano na vyama vya upinzani. Ndio kizazi cha wale wa kwenye space kama unafuwatilia.

Haya makundi ndani ya ccm ni swala la muda yatakuwa kitisho
Hukuwahi kutuambia mlimpeleka wapi Ben Saanane...miongoni mwa watu wa mwisho kutoa vitisho kwa Ben ni pamoja na wewe mkuu....
 
hivi ni lini hii nchi Rushwa iliisha?....

Mkuu tunapojadili haya mambo tuweke ushabiki pembeni ili tutatue tatizo..

Rushwa ni kansa iliyopo kwenye ubongo wa watanzania kuanzia mtoaji na mpokeaji... Maisha yetu wengi wetu hayajanyooka kutokana na mifumo na sisi wenyewe hili husababisha wengi kuwa watoaji rushwa wazuri ili mambo yaende, wapokea rushwa nao hutumia mwanya wa kutonyooka kwetu kuchelewesha mambo ili utoe rushwa..

Rushwa haijawahi kwisha Tanzania, inategemea unamishe mishe gani mjini na unaodeal nao akina nani, awamu iliyopita ilikuwa na watu wake wenye uwezo wa kupokea rushwa bila shida na wasifanywe chochote ( hapa nazungumzia rushwa kubwa kubwa) huku chini kila mtu alikuwa na uwezo wa kupokea bila shida.....

Huwezi kuimaliza rushwa bila kuweka mifumo mizuri ya maisha kwa watu wote, tena utamaliza zile ndogo ndogo ila rushwa kubwakubwa never sahau hizi hata USA, CHINA, UK zipo...

Wananchi ndo wanasema rushwa imerudi kwa kasi sana sasa wew unabishana nao
 
Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa.

Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa Taifa alituachia na sasa hiki chama kama wao wenyewe wanavyo jinasibu ni chama cha wenyewe. "CCM ina wenyewe" jambo hili sii tu linazuwa mgogoro ndani ya chama ambao ktk macho hatuuwoni ila pia unaligawa taifa na mwisho kitakacho tokea wengi tutabaki midomo wazi.

Nikweli kabisa naungana na vyombo vya ulinzi na usalama na hata viongozi wakuu wa taifa hili kwamba huko mbeleni upo mpango kuligawa taifa hili kwa ukanda na hata muungano na yakwamba ccm ndio njia pekee kuzuwia jambo hilo kutoka na mifumo tayari mmejiwekea. Lakini pia nilazima tukubaliane njia pekee kudhibiti mgawanyiko na mtengano sio ccm kuwa chama tawala kwasababu dunia ya sasa na ile tunaelekea vyombo vya ulinzi na usalama nilazima vijikite ktk kulinda taifa na mipaka yake, uchumi na masoko na kuingia ktk vyama vya siasa kwa mlango wa nyuma kupata taarifa na kushauri vyama pasipo kuingia au kusimamia chaguzi. Hii nitofauti sana kwetu hapa Tz na hili nimekuwa nikisema nikitisho ktk usalama wa Taifa kama tunakubali au laa mimi nasema kwa mawazo yangu nikitisho.

Idara zetu za usalama na zakijasusi zimeingia ktk mfumo nakuwa vyombo vyakuweka watawala kupitia chama kimoja while kwa upande mwingine vikiwa sehem ya machafuko hujuma ndani ya vyama vya upinzani. Hili nijambo zuri lakini wakati haya yanaendelea dunia inazidi ku advance ktk maswala ya kiusalama mbaya kuliko yote kwa sababu tumekiangalia chama kimoja ccm wenye akili wanazidi ku advance na kuusoma mfumo jambo na wao wanafanya vile mnafanya jambo lina zuwa tahatuki ndani ya chama na taifa.

Nilazima tujiulize pamoja na nguvu zote mifumo imetumia ila upinzani unazidi kushamiri na mbaya kuliko yote upinzani unazidi kuongeza ushawishi kwa watanzania kuliko wakati mwingine wowote ule na jambo lakutisha ndani ya chama yanaibuka makundi kila mara jambo hayati Mzee Magufuli hakuliweza na mwisho lilimuweka mtu kati mpaka umauti.

Sisi kama Taifa hatujachelewa wana ccm na vyama pinzani hawajachelewa na idara zetu hazija chelewa. Mtu kusema ccm ina wenyewe ni matusi sorry kusema hivyo kwasababu niukweli usiopingika bila idara nyeti za taifa na usalama ccm haipo. Pesa na Rasilimali watu tunatumia ccm kuwa madarakani nibora kukubali ya akina Tanu kuke Kenya.

Maana vita ya Urais ndani ya ccm inaigawa idara nyeti na taasisi zake why? Ask Kenyani waliojikuta wakiuwana kwasababu ya siasa. Kila anaye utaka urais anawatu ndani ya idara na wote wanataka mtu wao ashinde ndani ya chama hicho hicho kinachotokea nikupandikiziana mamluki ndani ya same chama namwisho ni wakwanza kumuwahi mwenzake ndio anakula nyama.

Vita kama hii ilikitesa sana chama cha tanu mpaka wazee na watu wenye busara waliposema inatosha inatosha ndio hii tunaiyona Kenya ya leo.

Ccm chini ya carpet ina tengeneza makundi mawili au matatu hatari kwa usalama wa chama na taifa pia maana wao ndio wenye serikali.

Kundi la kwanza ni la wale wanasema ccm inawenyewe ukiwaangalia ni vigogo na watoto wa high level office walio wahi tumikia taifa hili jambo wamelisahau nikukumbuka wapo waliokianzisha chama na watoto wao hawapo kwa namna moja au nyingine ila nao ni wana tanu na ccm ya sasa.

Kundi la wanachama wakawaida waliojiunga vyuoni na kwenye mashina kwa sababu binafsi na sasa washaujuwa mchezo wanataka wafike kilele ila wanakutana na nguvu ya ccm yenye wenyewe. Kundi hili nikubwa sana na linanguvu sana na kwa taarifa zisizo Rasmi Namba 1 alie ondoka ndie alikuwa na hili kundi na ndio alio hakikisha wengi wanaenda bungeni na sasa wengi wamebaki yatima. Kundi hili lina vijana wasomi kutoka familia maskini ambao wazazi wao hawakuwa wakati CCM inaanza au walifukuzwa ndani ya chama.

Kundi la watoto wa vigogo ambao wazazi wao walikuwa wanachama ila kutokana na uwaminifu na uwadilifu hawakupata umaarufu wa wenzao wengi wanaitwa vijana wa Nyerere. Pia hawa wanamafungamano na vyama vya upinzani. Ndio kizazi cha wale wa kwenye space kama unafuwatilia.

Haya makundi ndani ya ccm ni swala la muda yatakuwa kitisho
Mkuu TumainEl wewe unajua fika kuwa Idara ilikuwa inatoa taarifa za ukweli na zisizopendelea ( honest reports). Hamkulitaka hilo mkaiingilia utendaji wake na hatimaye badala ya kufanya kazi kwa weledi ( professionalism) mkaanza kuongozwa na wanasiasa. Mjipange upya!.
 
Hivi kwa nini wanaJamiiForums tusianzishe chama chetu cha Siasa tukiite CCJ,Chama Cha Jamii,kiwe na Sera,Dira,Ilani na mwelekeo wake kwa ujumla kwa Taifa ktk nyanja zote kupitia hizo Sera na Dira zitakazoainishwa na wataalam kabisa.??
 
Back
Top Bottom