Mabadiliko ndani ya CCM badala ya kuleta matumaini yamewavuruga wengi na kesho ya Taifa la Tanzania

Hiki chama kitamfia huyu Mama kama kilivyokuwa kinamfia Kikwete kwa kundekeza umbea na unafiki wa Mze Makamba.
 
Hatari sana. Matumani ndani ya CCM hayapo tena hasa kwa vijana wanao jiunga sasa.

CCM imebki kuwa ya familia chache tu.
 
Changamoto sahivi mkuu rushwa imekuwa ya waziwazi sn, kweli awamu ya 5 rushwa ilibaki kwa wakubwa wachache kama Makonda, Mnyeti, Sabaya n.k this time imerudi kwa kila mtu
 
Hukuwahi kutuambia mlimpeleka wapi Ben Saanane...miongoni mwa watu wa mwisho kutoa vitisho kwa Ben ni pamoja na wewe mkuu....
 

Wananchi ndo wanasema rushwa imerudi kwa kasi sana sasa wew unabishana nao
 
Mkuu TumainEl wewe unajua fika kuwa Idara ilikuwa inatoa taarifa za ukweli na zisizopendelea ( honest reports). Hamkulitaka hilo mkaiingilia utendaji wake na hatimaye badala ya kufanya kazi kwa weledi ( professionalism) mkaanza kuongozwa na wanasiasa. Mjipange upya!.
 
Hivi kwa nini wanaJamiiForums tusianzishe chama chetu cha Siasa tukiite CCJ,Chama Cha Jamii,kiwe na Sera,Dira,Ilani na mwelekeo wake kwa ujumla kwa Taifa ktk nyanja zote kupitia hizo Sera na Dira zitakazoainishwa na wataalam kabisa.??
 
CCM na serekali yake kimekuwa chama cha kidini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…