Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

Mkuu, habari za siku,

Hii hoja yako yakuondolewa mtanganyika nakuwekwa mzanzibar, serimali ya mapinduzi zanzibar wameijibu leo kibabe, yule Bwana Kamishna Saidi Athuman, sasa ameenda kuwa Kamishna Mkuu wa ZRA.

Kwa nchi zetu hizi mbili kwa maana ya zanzibar na bara inabidi tujingatie sana sana uwezo wa watu pia, wenzetu Zanzibar wameangalia professionalism zaidi ili mambo yaweze kwenda.

Mwanzo CG za ZRA aliuwa Yusuph Mwenda (kutoka Bara), leo tena wamemteua Saidi Athuman kutoka bara,hizi hoja za kibaguzi inabidi zipungue kidogo.

Kama hii nchi mzanzibar anaruhisiwa kuwa Rais wa Muungano, then unakataza mznz hasiwe Kamishna, na hii ni position ndogo sana kimaamuzi, naona haina maana kabisa.
 
Kuelekea uchaguzi mkuu tutayasikiq mengi sana haya....
 
Kwa hiyo alipisha kidogo ishu ya DP ianze kazi au ni utaratibu wa kawaida tu wa sirikali?
 
imefika wakati tufungue kesi za kuwaondoa Hawa wazanzibar kwenye nafasi wanazopewa ambazo SI za Muungano kama yule Shaka ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Hawa watu wamezoea Chao Chao Chao kwetu ni Cha wote.
Hili ndilo tunajaribu kuwaelewesha wasanii bodaboda walimu na vijana walio wengi..kuishabikia sisiem ni kuua uhalisia wenu huku bara.

Wanawapa vijisenti vya siku mbili tatu mko tayari kuuza utu wenu na mababu zenu.

Mnaporwa urithi wenu kwa vijisenti? Laiti mngelijua yajayo mbele yenu karibu mtaitwa wakimbizi kwenye ardhi yenu.

Wake up and smell the….
 
Kiongozi
Nikusahihishe kidogo, Hakuna Nchi inaitwa bara
Kuna nchi ya Tanganyika na Zanzibar
 
2 years later....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…