Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watasema wametuletea chogo.Fikiria ZRA apelekwe Paul Mtanganyika kuwa Mkurugenzi huko. Patachimbika,!
Mkuu, habari za siku,Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW
ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY
TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY
ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY
TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY
===
Kamishna wa forodha Said Athuman Kiondo, ameondolewa nafasi yake na kuchukuliwa na Juma Bakari Hassan.
Kamishna Juma Bakari ndiye atahusika na ushuru wa Forodha TRA (customs) ndani ya ofisi ya meneja wa Bandari.
Idara ya Ushuru na Forodha inasimamia kodi zote zinazohusu biashara ya kimataifa. Kodi hizo ni pamoja na Kodi ya Uingizaji Bidhaa, Ushuru na Kodi ya Ongezeko la Thamani kwa bidhaa ziingizwazo nchini. Kodi ya uingizaji bidhaa ni kodi inayotozwa kwa bidhaa zinazoingizwa nchini.
Kuelekea uchaguzi mkuu tutayasikiq mengi sana haya....Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW
ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY
TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY
ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY
TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY
===
Kamishna wa forodha Said Athuman Kiondo, ameondolewa nafasi yake na kuchukuliwa na Juma Bakari Hassan.
Kamishna Juma Bakari ndiye atahusika na ushuru wa Forodha TRA (customs) ndani ya ofisi ya meneja wa Bandari.
Idara ya Ushuru na Forodha inasimamia kodi zote zinazohusu biashara ya kimataifa. Kodi hizo ni pamoja na Kodi ya Uingizaji Bidhaa, Ushuru na Kodi ya Ongezeko la Thamani kwa bidhaa ziingizwazo nchini. Kodi ya uingizaji bidhaa ni kodi inayotozwa kwa bidhaa zinazoingizwa nchini.
Kwa hiyo alipisha kidogo ishu ya DP ianze kazi au ni utaratibu wa kawaida tu wa sirikali?Mkuu, habari za siku,
Hii hoja yako yakuondolewa mtanganyika nakuwekwa mzanzibar, serimali ya mapinduzi zanzibar wameijibu leo kibabe, yule Bwana Kamishna Saidi Athuman, sasa ameenda kuwa Kamishna Mkuu wa ZRA.
Kwa nchi zetu hizi mbili kwa maana ya zanzibar na bara inabidi tujingatie sana sana uwezo wa watu pia, wenzetu Zanzibar wameangalia professionalism zaidi ili mambo yaweze kwenda.
Mwanzo CG za ZRA aliuwa Yusuph Mwenda (kutoka Bara), leo tena wamemteua Saidi Athuman kutoka bara,hizi hoja za kibaguzi inabidi zipungue kidogo.
Kama hii nchi mzanzibar anaruhisiwa kuwa Rais wa Muungano, then unakataza mznz hasiwe Kamishna, na hii ni position ndogo sana kimaamuzi, naona haina maana kabisa.
Katiba ni toilet paper ya samia bushiri na rostam aziziHatuwezi kumfungulia kesi ya kikatiba kumwondoa?
Hili ndilo tunajaribu kuwaelewesha wasanii bodaboda walimu na vijana walio wengi..kuishabikia sisiem ni kuua uhalisia wenu huku bara.imefika wakati tufungue kesi za kuwaondoa Hawa wazanzibar kwenye nafasi wanazopewa ambazo SI za Muungano kama yule Shaka ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Hawa watu wamezoea Chao Chao Chao kwetu ni Cha wote.
KiongoziMkuu, habari za siku,
Hii hoja yako yakuondolewa mtanganyika nakuwekwa mzanzibar, serimali ya mapinduzi zanzibar wameijibu leo kibabe, yule Bwana Kamishna Saidi Athuman, sasa ameenda kuwa Kamishna Mkuu wa ZRA.
Kwa nchi zetu hizi mbili kwa maana ya zanzibar na bara inabidi tujingatie sana sana uwezo wa watu pia, wenzetu Zanzibar wameangalia professionalism zaidi ili mambo yaweze kwenda.
Mwanzo CG za ZRA aliuwa Yusuph Mwenda (kutoka Bara), leo tena wamemteua Saidi Athuman kutoka bara,hizi hoja za kibaguzi inabidi zipungue kidogo.
Kama hii nchi mzanzibar anaruhisiwa kuwa Rais wa Muungano, then unakataza mznz hasiwe Kamishna, na hii ni position ndogo sana kimaamuzi, naona haina maana kabisa.
shida ipo kwenye hii fomyula apa,Kumbuka wazanzibari ni watanzania pia
2 years later....Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW