Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

Wote ni Waislamu tu. Kwa iyo hamna mabadiliko.

inamankusweke Covax Ami Kikwajuni One (Waislamu weusi tii lakini sijdah zao zinaoneka na kumeremeta)
 
Mkuu uko sahihi.
Sii hivyo tu hata MA DED NA MA DAS kateua ndgu zake wazanzibari wako huku bara.
Huyu mama huyu@
 
imefika wakati tufungue kesi za kuwaondoa Hawa wazanzibar kwenye nafasi wanazopewa ambazo SI za Muungano kama yule Shaka ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Hawa watu wamezoea Chao Chao Chao kwetu ni Cha wote.
Syo huyo tu hata Mkurugenzi wa kinondoni Hanifa hamza ni mzanzibari na binamu yake samia
 
Mere complaints won't help !! This will go on-and-on because they know that you won't do anything to stop that !!
 
Unajua maana TANZANIA na ilitoka na NINI?? SO TULIA
 
Lakini mbona mkuu wa mamlaka ya mapato Zanzibar ni Mtanganyika anaitwa Mwenda
Malkia alitakiwa arekebishe makosa,amtoe huyo Mtanganyika amweke Mzanzibari,huyo Mtanganyika angemrudisha huku,Sasa yeye anamshikilia yule Mtanganyika kule kwa maslahi ya Wazanzibari halafu unatuletea Mzanzibari huku kwa maslahi ya Wazanzibari,a mistake towards a mistake is a big mistake.
 
Huyu Mama kwakweli sijui hata kama huwa anasoma anacho wekewa mezani kabisa!
 
Marehemu Tanganyika lazima afufuke,iwe mzimu au roboti lazima afufuliwe na apewe haki zake sawasawa na Zanzibar.
 
Hao maofisa wa serikali ndo wanaotuangusha kwenye kuidai Tanganyika kwa kujiona wako salama. Ngoja kila mtu aisome namba ili tuwe mstari mmoja.
 
Marehemu Tanganyika lazima afufuke,iwe mzimu au roboti lazima afufuliwe na apewe haki zake sawasawa na Zanzibar.
Kwa sasa muacheni Zanzibar aendelee kujilia vyake, maana ni vitu ambavyo walichanga na 'Marehemu' na 'Marehemu' hakuwahi kuandika mrithi wake.
 
Hili la bandari limetusaidia kujua sisi wana JF ambao huwa tunaambiana 'huna elimu' kwa maandishi kumbe sisi wenyewe ndo hatuna elimu na hatujui ila hatujui kwamba hatujui; iwapo kweli haya ndio maandiko yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…