kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Ukimaliza kuidai TanganyikaHatuwezi kumfungulia kesi ya kikatiba kumwondoa?
Nenda kashitaki km yule mwendawazimu wenu wa MbeyaWashauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW
ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY
TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY
ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY
TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY
Sawa lakini itabidi usubirie mpaka 2030 InshallahAkitoka huyu mama mwanzo na mwisho hawa watu wa zanzibar,
Two years to go
hawa wapumbavu wameshindwa kuwaelewa walimu wao mashuleni watakuelewa weweMnachoshindwa kuelewa ni kwamba mambo ya muungano yanaihusu Tanganyika na Zanzibar. Na Yale ambayo siyo ya muungano yanaihusu Zanzibar peke yake. Kwahiyo wazanzibari Wana haki ya kushiriki kila kitu huku Tz bara kwa sababu mambo ya Tanganyika yote ni ya muungano ila watanganyika hawawezi kushiriki mambo ya Zanzibar kwakuwa mambo ya Zanzibar siyo ya muungano.
Huu muungano gani unaotoa haki ya upande mmoja tu.Kwa sasa kikatiba hakuna kitu kinaitwa Tanganyika na badala yake Kuna jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) kwahiyo wazanzibari kama watanzania wengine Wana haki ya kuajiriwa na kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya muungano japo mambo yaliyopo chini ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ni ya wazanzibari peke Yao.
Kwamba damu ya kupe na damu ya mbuzi vyote ni vya kupe lakini damu ya kupe siyo damu ya mbuzi. This is parasitic relationshipMnachoshindwa kuelewa ni kwamba mambo ya muungano yanaihusu Tanganyika na Zanzibar. Na Yale ambayo siyo ya muungano yanaihusu Zanzibar peke yake. Kwahiyo wazanzibari Wana haki ya kushiriki kila kitu huku Tz bara kwa sababu mambo ya Tanganyika yote ni ya muungano ila watanganyika hawawezi kushiriki mambo ya Zanzibar kwakuwa mambo ya Zanzibar siyo ya muungano.
Kwani wewe kuku wa kienyeji huoni shida au uko arabuni! You and the impostors MUST GO this time trust me!Kajambe ulale. Inawauma bandari tu watu wa kanisani.
Ni kweli na inaonyesha asilimia kubwa ya watanganyika muungano hawaufahamu angalia michangio yao kuhusu Muungano wanaendeshwa zaidi na mihemuko tuWatu hawana uelewa wa mambo ya Muungano.
Oh hili sikulifahamu bwana mbatizaji. Kwahiyo TRA inanisimama kama chombo kikuu cha kukusanya mapato mpaka Zanzibar?Hao ZRA ni sawa tu na Halmashauri zinavyokusanya kodi Tanzania Bara hata boss wa ZRA Mwenda alikuwa Diwani wa Mikocheni na Meya wa Kinondoni
Majukumu ya TRA Zanzibar yako pale pale!
Mbowe keshawanyunyizia sumu, ha ha ha🤣Kumbuka wazanzibari ni watanzania pia
Tanzania ni muungano wa nchi mbili. Lakini kuna mambo yasiyo ya muungano. Kama mzanzibari ni mtanzania kwanini kuna mambo yasyo muhusu Mtanzania huyo huyo.Kumbuka wazanzibari ni watanzania pia
Watanganyika tumekuwa mafala sanaUnelewa vizuri sana sema umeamua kujitia ujinga.
Zanzibar wana Bandari zao kwaajili ya Wazanzibari.
Zanzibar wana Mamlaka yao ya kodi kwaajili ya Wazanzibari.
TPA & TRA ni kwaajili ya watanganyika kutuletea Wazanzibari huko ni kuwadharau watanganyika million 61.
Kwakuwa hakuna mtanganyika ZPA & ZRA ni ujinga wa kiwango cha SGR kutuletea Wazanzibari kuongoza taasisi ambazo zipo Tanganyika.
Hivi kama mzanzibari anashika ikulu ya Tanganyika ambayo ndiyo mhimili wa ofisi zote za nchi inashangaza nini kishika ofisi ya TPA au TRA. Kama hoja ni Zanzibar kuwa na ZRA na ZPA basi kumbuka hata ikulu wanayo lakini bado wanaongoza ikulu ya Tanganyika sasa hata sijaona mnaonaje mzanzibari kushika ofisi ya TPA ni jambo kubwa kuliko kushika ikulu ya nchi???!!!Kijana kama hujui jambo bora ukae kimya.
TRA iliyopo Zanzibar haina uhusiano na mapato yanayokusanywa na ZRB iliyoizaa na kuwa ZRA, mapato yote ya zanzibar yanabaki huko kwa maendeleo ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiislamu.
TRA kwa ninavyofaham inafanya kazi kwa kushugulikia mapato yaliyopo kwenye issue ya muungano tu na siyo mapato ya SMZ mfano Bandari, Airport, Ushuru kwa wafanyabiashara nk.
Kuna issues ukikaa na kuangalia jinsi zinavyokwenda unaweza usielewe kabisa hizi nchi mbili zina uhusiano gani zaidi.
So unatakiwa kukaa kwa kutulia si kuandika kitu kwa kujifanya unajua, maana kumleta mzanzibari kushika ofisi kama hiyo si jambo la kucheka aseee.
Njaa tu itawaua kule hakuna kitu. Mishahara ya watumishi wa Zanzibar inaashiria hivyoNa kule Zanzibar wanalisubiri hili kwa hamu kwan wao walsasema zamani wakaambiwa siasa kali hivyo lazima wadhibitiwe. Bahati mbaya hili lilisemwa mchana kweupe, tena kanisani. Sasa imekuja nafasi na fursa itumieni kwa faida yetu sote.
Umeanza kukengeuka broTanganyika iko Kwenye ramani gani?
Yani kuna sukuma gang wapumbaf sana
Hoja ipo mkuu labda kama huioni, mfano ofisi gani pale zanzibar ambayo mteuliwa ametoka bara na anaonekana kabisa huyu Mheshimiwa Rais kamtoa huko Itegambwike au Butata huko na kutokana na weledi wake anaweza kushika nafasi hiyo kwenye SMZ.Hivi kama mzanzibari anashika ikulu ya Tanganyika ambayo ndiyo mhimili wa ofisi zote za nchi inashangaza nini kishika ofisi ya TPA au TRA. Kama hoja ni Zanzibar kuwa na ZRA na ZPA basi kumbuka hata ikulu wanayo lakini bado wanaongoza ikulu ya Tanganyika sasa hata sijaona mnaonaje mzanzibari kushika ofisi ya TPA ni jambo kubwa kuliko kushika ikulu ya nchi???!!!
Lakin wanzanzibar sio watanganyika! Ujue hlo pia. Je watanganyika ni wakina nani?Kumbuka wazanzibari ni watanzania pia
Mambo ya Tanzania bara yote ni ya muungano. Raisi na Baraza la mawaziri,bunge na majeshi yote ni ya muungano na wazanzibari Wana haki ya kushiriki sehemu yoyote ya muungano.Mzanzibari ana haki ya kuwa jaji mkuu, mwanasheria mkuu, mkuu wa majeshi na hata amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Mambo ya Zanzibar I ndiyo ambayo siyo ya muungano hivyo watu wa bara hatuwezi kushika nafasi yoyote kule Zanzibar.Hoja ya msingi hapo, mzanzibari hastahili kupewa nafasi yoyote kwenye serikali kwenye nafasi ambayo siyo ya Muungano.
TRA ni mkusanyaji mkuu Bara na Zanzibar!Oh hili sikulifahamu bwana mbatizaji. Kwahiyo TRA inanisimama kama chombo kikuu cha kukusanya mapato mpaka Zanzibar?
Mbona watu wengi tumeshuhudia wanahama kutoka TRA bara kwenda Zanzibar? Hii imekaaje?Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW
ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY
TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY
ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY
TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY