Kijana kama hujui jambo bora ukae kimya.
TRA iliyopo Zanzibar haina uhusiano na mapato yanayokusanywa na ZRB iliyoizaa na kuwa ZRA, mapato yote ya zanzibar yanabaki huko kwa maendeleo ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiislamu.
TRA kwa ninavyofaham inafanya kazi kwa kushugulikia mapato yaliyopo kwenye issue ya muungano tu na siyo mapato ya SMZ mfano Bandari, Airport, Ushuru kwa wafanyabiashara nk.
Kuna issues ukikaa na kuangalia jinsi zinavyokwenda unaweza usielewe kabisa hizi nchi mbili zina uhusiano gani zaidi.
So unatakiwa kukaa kwa kutulia si kuandika kitu kwa kujifanya unajua, maana kumleta mzanzibari kushika ofisi kama hiyo si jambo la kucheka aseee.