Mabadiliko ya Ghafla: Kuikinai pombe kutoka kuwa mlevi wa kupindukia

Hali hiyo inatokana na maombi,ndugu na jamaa tulikuwa tunakuombea usiku na mchana kwa Mungu! Maana ulipozaliwa tuu,ulipewa nyonyo unyonye!Ghafla unapiga mchupa,ndio hivyo mkuu.
 
Umeingia kwenye energy drink?!!!
 
mnoo aise. Sasa ataenjoi wap? nan achangie kias cha kodi aliokua anachangia kwa taifa? ni huzuni kubwa kupungukiwa na mwanachama mmoja.
Ila ngoja nikaze tu ivi ivi
 
Utakuwa umewekewa dawa pasipo kujua. Bro wangu alikuwa mlevi mbwa anakunywa hadi anaenedhs gari inaanguka wka mtaro anasinzia. Mkewe kamshauri akakubali, akataftiwa dawa ya kukinai pombe akiiona anahisi kutapika. Akatumia hali hiyo ikadumu kwa miaka mitatu akarudia ulevi.
amamsumbua wee, miezi miwili iliyopita kaamua mwenyewe aitumie tena na sasa hivi hajagusa pombe. Ila watu wengi huwa wanawekewa pasipo wao kujua kuwa wamewekewa.
 
Yaani unatukataa wajomba tulikesha kukuombea!Ila nimefurahi kwa ushuhuda huu,kunywa juisi,maji na maziwa,huko kwenye pombe potezea.
Kama ni maombi najua ni ya mama yangu mlezi SARAH
Aa
 
Nibless sasa 2k nikagonge MOenergy[emoji16]
nimefatilia andiko lako kwamakini nimegundua tatizo kwanini umeikinai pombe😁😁😁

nakushauri endelea kuikinai hivyohivyo tusije tukakukosa(usije kuvuliwa ubingwa nawahuni)

kaza mwenetu hadi hali itakapo tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…