Mabadiliko ya Ghafla: Kuikinai pombe kutoka kuwa mlevi wa kupindukia

Inapatikana wapi hiyo dawa mkuu, maana wahanga ni wengi
 
Sasa sioni wa karibu yangu mwenye huo upendo
 
Yaani unatukataa wajomba tulikesha kukuombea!Ila nimefurahi kwa ushuhuda huu,kunywa juisi,maji na maziwa,huko kwenye pombe potezea.

Aa
Mama angu mlezi ananipenda mno ni mwana maombi
 
nimefatilia andiko lako kwamakini nimegundua tatizo kwanini umeikinai pombe[emoji16][emoji16][emoji16]

nakushauri endelea kuikinai hivyohivyo tusije tukakukosa(usije kuvuliwa ubingwa nawahuni)

kaza mwenetu hadi hali itakapo tulia
Ubingwa upi?
 
Ukiacha pombe walevi wanakuchukia wanakuonea wivu kwakua umefanikiwa kutoka kwenye kundi lao la wapumbavu
Pombe hajawai kua shida shida ni mtu mwenyewe.
For years wazungu wamekunywa wanakunywa na wamefanya vumbuzi nyingi mpaka hiyo simu unayo itumia kutype hapa jukwaani.
Drink responsible tena jion baada ya kazi kunywa for recreational purposes unakunywa kwa kipimo sio una mis use/ over drinking
Pombe ni kwaajir ya machampion/ great thinkers

NB.
"KAMA HUJAWAI KUTUMIA KILEVI CHOCHOTE BASI JUA HAUJAWAI KUISHI"
 
Tena wanywaji wengi hatuna unafki pia hata madili tunashirikiana mno na kupeana michongo.
 
😁😁Bwana ,Niels Bohr mwanafizikia nguli.
 
Walevi wasiache pombe ili huku mtaani tusikose watu wa kuwadharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…