Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

Mmeanza,
Mlisema mi5 tena mara atake asitake.

Unataka baada ya mauzo ya bandari za Tanganyika kukamilika auze na visima vya asili?
 

Kuna kitu inabidi utafute katika katiba ili ujue, awamu ya kwanza aliiongoza kwa muda gani, ili ihesabike AMA isihesabike ni awamu ya kwanza kwake.

Mm napenda uongozi wake kikweli..

Nisichokipenda ni hali ya mikataba isyo na tija ambayo nadhani inaratibiwa na wanao mzunguka.
 
Kafir*e hatutaki kuchezea Ukomo wa Rais yaan yale yale ya MEKO
 
Mkuu kwa mara ya kwanza niliposoma makubaliano nilijua tumepigwa ila baadaye nikatuliza akili nikasoma tena nikajua TPA ndiyo ina mamlaka ya kuingia mikataba kwa niaba ya serikali na mpaka sasa hakuna mkataba kati ya TPA na DPW. UNAYOSIKIA NI PROPAGANDA TUU
 
Kafir*e hatutaki kuchezea Ukomo wa Rais yaan yale yale ya MEKO
Namnukuu hayati Magufuli "ukiona maadui zako wanakushangilia jua kuna mahali umekosea na ukiona maadui zako wanakuandama jua ume wabana kwelikweli. "

Mama haupigi mwingi tena.

Mwisho wa kunukuu.
 
Mmeanza,
Mlisema mi5 tena mara atake asitake.

Unataka baada ya mauzo ya bandari za Tanganyika kukamilika auze na visima vya asili?
Teknolojia tunayo?@ kama samaki tunashindwa kuvua tutaweza endesha bandari. Hayati Magufuli alikamata meli ya uvuvi yenye shehena ya samaki wakala wanafunzi Nchi nzima. Bila aibu wakaizamisha kuficha ushahidi.
 

Kwahiyo hata bungeni walienda kupitisha propaganda?

Mbarawa aliesaini pale chini pamoja na naniliuu wote ni wakurugenzi wa bandari mapya?
 
Kwahiyo hata bungeni walienda kupitisha propaganda?

Mbarawa aliesaini pale chini pamoja na naniliuu wote ni wakurugenzi wa bandari mapya?
Swali zuri Mkuu. Profesa alisaini makubaliano lakini kwa upande wa mikataba taasisi yenye mamlaka ni Tanzania Ports Authority ambayo imeanzishwa chini ya Ports Act no. 166 na sio mbarawa kwamba ana mamlaka ya kusaini mkataba na DPW. swali langu kwako ni moja kwa mujibu wa sheria hiyo bandari zote zipo chini ya TPA na mpaka sasa hakuna mkataba wowote kati ya TPA na DPW UTASEMAJE NCHI IMEUZWA wakati bado utekelezaji wa makubaliano haujaanza? Makubaliano yaliyofikiwa na waziri na dpw ni mwanzo tuu. Kumbuka all contracts are agreement but not all agreement are contracts.

TPA NDIYO WANA MAMLAKA YA KUSAINI MKATABA WA KUKODISHA BANDARI NA MUDA WA KUKODISHA KWASABABU BANDARI ZOTE ZIPO CHINI YAKE
 
Ikitokea akaingia kiongozi ambaye hayuko upande wako ??? Je utaandika Hulu upuuzi hats Kwa Jpm chawa walisema haya
 
Mpeni miaka 50 Zanzibar atawale akimaliza awamu yake. Labda ataongea na ndugu zake zaidi ya kuziba masikio. Ana uchungu na nchi yake alipozaliwa. Waarabu Anawapenda zaidi ya Watanganyika.

Historia yake ikoje? Baba, mama ,bibi, babu, mme wake, watoto wake, elimu yake, akili yake, uwezo wake wa kufikiri?
 
Muungano wa tanganyika na Zanzibar ni jambo la undugu uliotukuka kwani wengi waliokuwa Zanzibar walikuwa na ndugu tanganyika and vice versa. Usiwe na chuki na viongozi wako kwani mema yatafungwa juu yako soma warumi 13 1-7 inasema "Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu"

Muheshimu Raisi Samia mkuu wa serikali bila kujali kazaliwa wapi. Usidanganywe kwani unajua kafanya mangapi usiyo ambiwa ili wewe uwe salama na amani pamoja na familia yako?

Acha dharau
 
Ikitokea akaingia kiongozi ambaye hayuko upande wako ??? Je utaandika Hulu upuuzi hats Kwa Jpm chawa walisema haya
Unafikiri kwa akili yako kwanini Rwanda wamefikia hapo walipo? Wamefikishwa na akili na sacrifice ya mtu mmoja paul kagame.

Viongozi wote wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania niko upande wao na wao pia wapo upande wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…