Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

FB_IMG_16930566484282424.jpg
 
Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.

Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.

Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .

Pamoja tuungane na tujenge taifa letu
Ni bora mudsa upunguzwe kuliko kuongezwa
 
KKKT.......
Wamenisomesha/wamenilipia ada mpaka namaliza masomo yangu.... Wazidi kubarikiwa...

Ila ulicho Andika hapo.. Nafsi yangu inakua Zito sana. 🤝
Na Bwana aifanye nafsi yako kuwa nyepesi kama sufi.

Warumi 13:1-7​

Neno: Bibilia Takatifu​

Kutii Mamlaka​

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu
 
Hapo ndo umefika mwisho kabisa wa kufikilia au kutoa maoni yako mwenyewe 😅

Put it into Trash
Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.

Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.

Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .

Pamoja tuungane na tujenge ta
 
I am happy for my fellow learned brother and friend to read my thread.
Me2
Utawala wa Samia ni mtego mkubwa na kitendawili kikubwa kwa Tanzania na katiba yake. Hakutoa ahadi yoyote wala hakupigiwa kura na mtanzania yoyote kuwa Raisi bali yeye anatambulika kama mgombea mwenza
Unapokuwa mgombea mwenza ahadi za mgombea ni zako na kura za mgombea ni kura zako, hivyo Samia amechaguliwa kwa kura na ahadi za mgombea wake, ila lile la Machi 17 likitokea sasa, huyu VP ndio atakuwa hakuchaguliwa kwa kura wala ahadi!.
. Pili katiba inaruhusu kuhudumia miaka 10 je atakuwa Raisi wa kwanza kuhudumu miaka 9? Huoni katiba imevunjwa?
No sio lazima kugombea 2nd term, rais anaweza hata kukaa mwaka mmoja tuu na akajiuzulu bila kukiuka katiba!.
"Where the office of President becomes vacant by reason of death, resignation, loss of electoral qualifications or inability to perform his functions due to physical infirmity…then the Vice-President shall be sworn in and become the President…"

Samia is a president by default she just full fill a vacant position what does political parties act provides with regards to election process in Tanzania? Did she give any promises to Tanzanian people? The answer is no, Magufuli was the one.
Kwa vile Samia alikuwa mgombea mwenza wa JPM, ahadi zote za JPM pia ni za Samia!.
Ambaye anakamilisha kazi ya Magufuli baada ya kifo chake ni nani!?
Rais akifa in less than 2 years, awamu yake inaisha, rais Samia ameanza awamu ya 6 kumalizia kipindi cha JPM
Je akisha maliza kazi ya Magufuli kuna ruhusa ya yeye kutoa ahadi zake na kuomba kura kwa watanzania?
Yes anaanza awamu yake ila inakuwa ni awamu ya mwisho, huku kumalizia awamu ya Magufuli kunahesabika kama awamu ya kwanza ya Samia.
2025 ndiyo mwisho wa utawala wa Magufuli
Mwisho wa utawala wa Magufuli ni Machi 17, 2021, na mwanzo wa awamu ya Samia ila alimalizia ilani ya Magufuli. 2025 Samia ana right ya kuendelea awamu yake ya pili kwa ilani yake
akigombea Raisi Samia si inamanisha ndiyo mara yake ya kwanza?
Yes ni mara yake ya kwanza kugombea urais ila ni awamu yake ya pili na ya mwisho, kwasababu huku kumalizia awamu ya Magufuli kunahesabika ndio awamu yake ya kwanza by default
Kwasababu atafanya kampeini? Na kutoa ahadi kwa wananchi? Na kama aliruhusiwa kupeperusha bendera ya urais kupitia CCM si itakuwa amepitishwa na kamati kuu kwa mara ya kwanza? Iweje asiombe ridhaa ya chama kwa mara ya pili
Yes kwa 2025 Samia ataomba ridhaa ya chama kwa mara ya kwanza, ila ni kugombea awamu yake ya pili na ya mwisho!.
P
 
Na Bwana aifanye nafsi yako kuwa nyepesi kama sufi.

Warumi 13:1-7​

Neno: Bibilia Takatifu​

Kutii Mamlaka​

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu
Amina..

Sheria ZIMEWEKWA ili ziabudiwe.. Ila kuna mda mwingine inabidi sheria zipindishwe kwa maslai ya wananchi
 
Me2

Unapokuwa mgombea mwenza ahadi za mgombea ni zako na kura za mgombea ni kura zako, hivyo Samia amechaguliwa kwa kura na ahadi za mgombea wake, ila lile la Machi 17 likitokea sasa, huyu VP ndio atakuwa hakuchaguliwa kwa kura wala ahadi!.

No sio lazima kugombea 2nd term, rais anaweza hata kukaa mwaka mmoja tuu na akajiuzulu bila kukiuka katiba!.

Kwa vile Samia alikuwa mgombea mwenza wa JPM, ahadi zote za JPM pia ni za Samia!.

Rais akifa in less than 2 years, awamu yake inaisha, rais Samia ameanza awamu ya 6 kumalizia kipindi cha JPM

Yes anaanza awamu yake ila inakuwa ni awamu ya mwisho, huku kumalizia awamu ya Magufuli kunahesabika kama awamu ya kwanza ya Samia.

Mwisho wa utawala wa Magufuli ni Machi 17, 2021, na mwanzo wa awamu ya Samia ila alimalizia ilani ya Magufuli. 2025 Samia ana right ya kuendelea awamu yake ya pili kwa ilani yake

Yes ni mara yake ya kwanza kugombea urais ila ni awamu yake ya pili na ya mwisho, kwasababu huku kumalizia awamu ya Magufuli kunahesabika ndio awamu yake ya kwanza by default

Yes kwa 2025 Samia ataomba ridhaa ya chama kwa mara ya kwanza, ila ni kugombea awamu yake ya pili na ya mwisho!.
P
kumbe ilani ni ya mgombea na sio chama? au ni lugha ya kujitenga na harakati za mwendazake? naomba ufafanuzi
 
[QUOTE= Asante sana mkuu P. kwa ufafanuzi huu. Mara nyingi nimeuliza lakini hakukuwa na majibu.

Rais akifa in less than 2 years, awamu yake inaisha, rais Samia ameanza awamu ya 6 kumalizia kipindi cha JPM.
 
Unafikiri kwa akili yako kwanini Rwanda wamefikia hapo walipo? Wamefikishwa na akili na sacrifice ya mtu mmoja paul kagame.

Viongozi wote wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania niko upande wao na wao pia wapo upande wangu.
Come on man. Katiba Bora sera Bora mipango Bora ya kitaasisi ndo huleta development evolution
 
Hiyo ni elimu tu ya darasani mkuu
Come on man. Katiba Bora sera Bora mipango Bora ya kitaasisi ndo huleta development evolution
Kushika nafasi ya urais ni mbali na taasisi na mipango ndiyo maana watu wanaojua mambo wanamheshimu huyu mama.
 
Me2

Unapokuwa mgombea mwenza ahadi za mgombea ni zako na kura za mgombea ni kura zako, hivyo Samia amechaguliwa kwa kura na ahadi za mgombea wake, ila lile la Machi 17 likitokea sasa, huyu VP ndio atakuwa hakuchaguliwa kwa kura wala ahadi!.

No sio lazima kugombea 2nd term, rais anaweza hata kukaa mwaka mmoja tuu na akajiuzulu bila kukiuka katiba!.

Kwa vile Samia alikuwa mgombea mwenza wa JPM, ahadi zote za JPM pia ni za Samia!.

Rais akifa in less than 2 years, awamu yake inaisha, rais Samia ameanza awamu ya 6 kumalizia kipindi cha JPM

Yes anaanza awamu yake ila inakuwa ni awamu ya mwisho, huku kumalizia awamu ya Magufuli kunahesabika kama awamu ya kwanza ya Samia.

Mwisho wa utawala wa Magufuli ni Machi 17, 2021, na mwanzo wa awamu ya Samia ila alimalizia ilani ya Magufuli. 2025 Samia ana right ya kuendelea awamu yake ya pili kwa ilani yake

Yes ni mara yake ya kwanza kugombea urais ila ni awamu yake ya pili na ya mwisho, kwasababu huku kumalizia awamu ya Magufuli kunahesabika ndio awamu yake ya kwanza by default

Yes kwa 2025 Samia ataomba ridhaa ya chama kwa mara ya kwanza, ila ni kugombea awamu yake ya pili na ya mwisho!.
P
Mimi napenda sana hoja zako na mada zako sana sana nimeelewa na nimejifunza kitu kwako Mkuu una busara sana katika wachangiaji wangu wote wewe ni msomi na critical thinker arguments zako zote niza msingi natumaini wamesoma. Respect
 
Back
Top Bottom