Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora mudsa upunguzwe kuliko kuongezwaNdugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.
Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.
Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .
Pamoja tuungane na tujenge taifa letu
KKKT.......I am Kkkt by faith
Na Bwana aifanye nafsi yako kuwa nyepesi kama sufi.KKKT.......
Wamenisomesha/wamenilipia ada mpaka namaliza masomo yangu.... Wazidi kubarikiwa...
Ila ulicho Andika hapo.. Nafsi yangu inakua Zito sana. 🤝
Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.
Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.
Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .
Pamoja tuungane na tujenge ta
Me2I am happy for my fellow learned brother and friend to read my thread.
Unapokuwa mgombea mwenza ahadi za mgombea ni zako na kura za mgombea ni kura zako, hivyo Samia amechaguliwa kwa kura na ahadi za mgombea wake, ila lile la Machi 17 likitokea sasa, huyu VP ndio atakuwa hakuchaguliwa kwa kura wala ahadi!.Utawala wa Samia ni mtego mkubwa na kitendawili kikubwa kwa Tanzania na katiba yake. Hakutoa ahadi yoyote wala hakupigiwa kura na mtanzania yoyote kuwa Raisi bali yeye anatambulika kama mgombea mwenza
No sio lazima kugombea 2nd term, rais anaweza hata kukaa mwaka mmoja tuu na akajiuzulu bila kukiuka katiba!.. Pili katiba inaruhusu kuhudumia miaka 10 je atakuwa Raisi wa kwanza kuhudumu miaka 9? Huoni katiba imevunjwa?
Kwa vile Samia alikuwa mgombea mwenza wa JPM, ahadi zote za JPM pia ni za Samia!."Where the office of President becomes vacant by reason of death, resignation, loss of electoral qualifications or inability to perform his functions due to physical infirmity…then the Vice-President shall be sworn in and become the President…"
Samia is a president by default she just full fill a vacant position what does political parties act provides with regards to election process in Tanzania? Did she give any promises to Tanzanian people? The answer is no, Magufuli was the one.
Rais akifa in less than 2 years, awamu yake inaisha, rais Samia ameanza awamu ya 6 kumalizia kipindi cha JPMAmbaye anakamilisha kazi ya Magufuli baada ya kifo chake ni nani!?
Yes anaanza awamu yake ila inakuwa ni awamu ya mwisho, huku kumalizia awamu ya Magufuli kunahesabika kama awamu ya kwanza ya Samia.Je akisha maliza kazi ya Magufuli kuna ruhusa ya yeye kutoa ahadi zake na kuomba kura kwa watanzania?
Mwisho wa utawala wa Magufuli ni Machi 17, 2021, na mwanzo wa awamu ya Samia ila alimalizia ilani ya Magufuli. 2025 Samia ana right ya kuendelea awamu yake ya pili kwa ilani yake2025 ndiyo mwisho wa utawala wa Magufuli
Yes ni mara yake ya kwanza kugombea urais ila ni awamu yake ya pili na ya mwisho, kwasababu huku kumalizia awamu ya Magufuli kunahesabika ndio awamu yake ya kwanza by defaultakigombea Raisi Samia si inamanisha ndiyo mara yake ya kwanza?
Yes kwa 2025 Samia ataomba ridhaa ya chama kwa mara ya kwanza, ila ni kugombea awamu yake ya pili na ya mwisho!.Kwasababu atafanya kampeini? Na kutoa ahadi kwa wananchi? Na kama aliruhusiwa kupeperusha bendera ya urais kupitia CCM si itakuwa amepitishwa na kamati kuu kwa mara ya kwanza? Iweje asiombe ridhaa ya chama kwa mara ya pili
Amina..Na Bwana aifanye nafsi yako kuwa nyepesi kama sufi.
Warumi 13:1-7
Neno: Bibilia Takatifu
Kutii Mamlaka
13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu
kama sio awamu yake kwanini walikimbilia kubadili iitwe awamu ya sita?Hata bila mabadiliko ya katiba, mama Samia ana haki ya kugombea mara mbili.
Hii awamu siyo yake.
kumbe ilani ni ya mgombea na sio chama? au ni lugha ya kujitenga na harakati za mwendazake? naomba ufafanuziMe2
Unapokuwa mgombea mwenza ahadi za mgombea ni zako na kura za mgombea ni kura zako, hivyo Samia amechaguliwa kwa kura na ahadi za mgombea wake, ila lile la Machi 17 likitokea sasa, huyu VP ndio atakuwa hakuchaguliwa kwa kura wala ahadi!.
No sio lazima kugombea 2nd term, rais anaweza hata kukaa mwaka mmoja tuu na akajiuzulu bila kukiuka katiba!.
Kwa vile Samia alikuwa mgombea mwenza wa JPM, ahadi zote za JPM pia ni za Samia!.
Rais akifa in less than 2 years, awamu yake inaisha, rais Samia ameanza awamu ya 6 kumalizia kipindi cha JPM
Yes anaanza awamu yake ila inakuwa ni awamu ya mwisho, huku kumalizia awamu ya Magufuli kunahesabika kama awamu ya kwanza ya Samia.
Mwisho wa utawala wa Magufuli ni Machi 17, 2021, na mwanzo wa awamu ya Samia ila alimalizia ilani ya Magufuli. 2025 Samia ana right ya kuendelea awamu yake ya pili kwa ilani yake
Yes ni mara yake ya kwanza kugombea urais ila ni awamu yake ya pili na ya mwisho, kwasababu huku kumalizia awamu ya Magufuli kunahesabika ndio awamu yake ya kwanza by default
Yes kwa 2025 Samia ataomba ridhaa ya chama kwa mara ya kwanza, ila ni kugombea awamu yake ya pili na ya mwisho!.
P
Ilani ni ya chama ila inanadiwa na mgombea, ndio maana yule Blaza wangu aliposema katiba mpya sio kipaumbele changu wakati ilikuwepo kwenye ilani ya CCM, it was wrong!. Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?kumbe ilani ni ya mgombea na sio chama? au ni lugha ya kujitenga na harakati za mwendazake? naomba ufafanuzi
hahahaha! Kumbe ameanza tamaa ya madaraka.Kwahiyo hii bado ni awamu ya Maghufuli?
Maana nahisi ushaanza tamaa ya madaraka sasa.
Come on man. Katiba Bora sera Bora mipango Bora ya kitaasisi ndo huleta development evolutionUnafikiri kwa akili yako kwanini Rwanda wamefikia hapo walipo? Wamefikishwa na akili na sacrifice ya mtu mmoja paul kagame.
Viongozi wote wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania niko upande wao na wao pia wapo upande wangu.
Huko ni mbali Sana, washaanza kumendeana
Kushika nafasi ya urais ni mbali na taasisi na mipango ndiyo maana watu wanaojua mambo wanamheshimu huyu mama.Come on man. Katiba Bora sera Bora mipango Bora ya kitaasisi ndo huleta development evolution
Mimi napenda sana hoja zako na mada zako sana sana nimeelewa na nimejifunza kitu kwako Mkuu una busara sana katika wachangiaji wangu wote wewe ni msomi na critical thinker arguments zako zote niza msingi natumaini wamesoma. RespectMe2