Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Huko ni mbali Sana, washaanza kumendeanaHuyo ndo hawezi pata , asili yake inaweza kumgarimu, ila 2025 kitawaka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ni mbali Sana, washaanza kumendeanaHuyo ndo hawezi pata , asili yake inaweza kumgarimu, ila 2025 kitawaka sana
Mmeanza,Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.
Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.
Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .
Pamoja tuungane na tujenge taifa letu
Kwahiyo hii bado ni awamu ya Maghufuli?Hata bila mabadiliko ya katiba, mama Samia ana haki ya kugombea mara mbili.
Hii awamu siyo yake.
Mkuu hii Nchi ngumu sana na pia hii awamu ya 6 siyo ya samia kwani hajapigiwa kura wala hajatoa ahadi yoyote kwa mtanzania bali Dkt Samia anamalizia alichoanzisha Hayati Magufuli.
Awamu ya mama itakuwa ya 7 inamaanisha kwamba mwaka 2025 mama atagombea na kutoa ahadi zake kwa watanzania na akichaguliwa ndiyo awamu ya saba inaanzamo na awamu ya muhula wa pili ya mama itakuwa 2030. Kwaiyo kuanzia 2030 kuendelea ndiyo kama tukibadili katiba.
Yani Dk samia bado tunae sana kama miaka 12 imebaki ngoma bado mbichi
Mkuu kwa mara ya kwanza niliposoma makubaliano nilijua tumepigwa ila baadaye nikatuliza akili nikasoma tena nikajua TPA ndiyo ina mamlaka ya kuingia mikataba kwa niaba ya serikali na mpaka sasa hakuna mkataba kati ya TPA na DPW. UNAYOSIKIA NI PROPAGANDA TUUKuna kitu inabidi utafute katika katiba ili ujue, awamu ya kwanza aliiongoza kwa muda gani, ili ihesabike AMA isihesabike ni awamu ya kwanza kwake.
Mm napenda uongozi wake kikweli..
Nisichokipenda ni hali ya mikataba isyo na tija ambayo nadhani inaratibiwa na wanao mzunguka.
Namnukuu hayati Magufuli "ukiona maadui zako wanakushangilia jua kuna mahali umekosea na ukiona maadui zako wanakuandama jua ume wabana kwelikweli. "Kafir*e hatutaki kuchezea Ukomo wa Rais yaan yale yale ya MEKO
Teknolojia tunayo?@ kama samaki tunashindwa kuvua tutaweza endesha bandari. Hayati Magufuli alikamata meli ya uvuvi yenye shehena ya samaki wakala wanafunzi Nchi nzima. Bila aibu wakaizamisha kuficha ushahidi.Mmeanza,
Mlisema mi5 tena mara atake asitake.
Unataka baada ya mauzo ya bandari za Tanganyika kukamilika auze na visima vya asili?
Mkuu kwa mara ya kwanza niliposoma makubaliano nilijua tumepigwa ila baadaye nikatuliza akili nikasoma tena nikajua TPA ndiyo ina mamlaka ya kuingia mikataba kwa niaba ya serikali na mpaka sasa hakuna mkataba kati ya TPA na DPW. UNAYOSIKIA NI PROPAGANDA TUU
Swali zuri Mkuu. Profesa alisaini makubaliano lakini kwa upande wa mikataba taasisi yenye mamlaka ni Tanzania Ports Authority ambayo imeanzishwa chini ya Ports Act no. 166 na sio mbarawa kwamba ana mamlaka ya kusaini mkataba na DPW. swali langu kwako ni moja kwa mujibu wa sheria hiyo bandari zote zipo chini ya TPA na mpaka sasa hakuna mkataba wowote kati ya TPA na DPW UTASEMAJE NCHI IMEUZWA wakati bado utekelezaji wa makubaliano haujaanza? Makubaliano yaliyofikiwa na waziri na dpw ni mwanzo tuu. Kumbuka all contracts are agreement but not all agreement are contracts.Kwahiyo hata bungeni walienda kupitisha propaganda?
Mbarawa aliesaini pale chini pamoja na naniliuu wote ni wakurugenzi wa bandari mapya?
Ataiba2025 yenyewe hatumpi kura s3mbuse na 2030? Msimpe matumaini hewa Mama wa watu. Hakuna mna anamtamani tena.
Apumzike 25HATUTAKI akalee wajukuu kashazeeka hata kutembea kikakamavu hawezi msimchoshe mama abdul
Mpeni miaka 50 Zanzibar atawale akimaliza awamu yake. Labda ataongea na ndugu zake zaidi ya kuziba masikio. Ana uchungu na nchi yake alipozaliwa. Waarabu Anawapenda zaidi ya Watanganyika.Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi.
Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe marekebisho haraka ili raisi aweze kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi na kuendelea. Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe. Kwaiyo mfano katiba mpya ikija iwe na option kama raisi akitaka kugombea agombee tena na sio miaka kumi ikiisha ndiyo basi.
Hii imekaa poa manake kuna katiba za vyama watu wanaruhusiwa kugombea nafasi hadi miaka 20 na kuendelea .
Pamoja tuungane na tujenge taifa letu
Muungano wa tanganyika na Zanzibar ni jambo la undugu uliotukuka kwani wengi waliokuwa Zanzibar walikuwa na ndugu tanganyika and vice versa. Usiwe na chuki na viongozi wako kwani mema yatafungwa juu yako soma warumi 13 1-7 inasema "Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu"Mpeni miaka 50 Zanzibar atawale akimaliza awamu yake. Labda ataongea na ndugu zake zaidi ya kuziba masikio. Ana uchungu na nchi yake alipozaliwa. Waarabu Anawapenda zaidi ya Watanganyika.
Historia yake ikoje? Baba, mama ,bibi, babu, mme wake, watoto wake, elimu yake, akili yake, uwezo wake wa kufikiri?
Unafikiri kwa akili yako kwanini Rwanda wamefikia hapo walipo? Wamefikishwa na akili na sacrifice ya mtu mmoja paul kagame.Ikitokea akaingia kiongozi ambaye hayuko upande wako ??? Je utaandika Hulu upuuzi hats Kwa Jpm chawa walisema haya