Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

Watu munamtukana badison Bila kusoma Uzi Kwa umakini 🙄
Mpumbavu unataka tumjibu vipi? Katiba yetu imejengwa kwenye misingi ya Rais kukaa vipindi 2 visivyodhidi miaka 5. Msituletee ujinga mwingine hapa
 
Unafikiri kwa akili yako kwanini Rwanda wamefikia hapo walipo? Wamefikishwa na akili na sacrifice ya mtu mmoja paul kagame.

Viongozi wote wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania niko upande wao na wao pia wapo upande wangu.
Rwanda wamefika wapi? Mbona nchi hii inawatu WAPUMBAVU sana? Kuna nini ambacho Rwanda wanatuzidi?

Hata kuifananisha Rwanda na Lake zone bado siyo sahihi. Labda uilingamishe na mikoa ya Lindi na Mtwara
 
Yanga Mwaka huu? Ngoja tuone, Yule Dogo Fei Toto kapoteza fursa ya kukua.
 
Wee wazimu au uko ndani ya mzinga wa asai na mama samia.
 
Rubbish + Shithole..
Naona mmesahau kuwa kuna Dini huwa zina pokezana kijiti kila Baada ya miaka 10.

Endeleeni kufunua mkia wa punda.
 
Rubbish + Shithole..

Naona mmesahau kuwa kuna Dini huwa zina pokezana kijiti kila Baada ya miaka 10.

Endeleeni kufunua mkia wa punda.
Hiyo system inakufa the roman empire is falling before your eyes and suprisingly you cant see it.
 

Kabla sijakujibu.

Nisaidie nielewe, bunge hupitia na kupitisha makubaliano au mkataba?
 
Rwanda wamefika wapi? Mbona nchi hii inawatu WAPUMBAVU sana? Kuna nini ambacho Rwanda wanatuzidi?

Hata kuifananisha Rwanda na Lake zone bado siyo sahihi. Labda uilingamishe na mikoa ya Lindi na Mtwara
You are just acting as a fool and you dont know geo political of east Afrika. Nchi ndogo kama Rwanda inawezaje kuitesa Nchi kubwa kama congo na kuchukua madini? Through M23? Why do you think kagame hates JK? Such a fool to reply my thread.
 
Kabla sijakujibu.

Nisaidie nielewe, bunge hupitia na kupitisha makubaliano au mkataba?
Kabla sijakukibu nipe mfano wa mikataba unayo ijua iliyopitishwa na bunge
 
I am happy for my fellow learned brother and friend to read my thread. Utawala wa Samia ni mtego mkubwa na kitendawili kikubwa kwa Tanzania na katiba yake. Hakutoa ahadi yoyote wala hakupigiwa kura na mtanzania yoyote kuwa Raisi bali yeye anatambulika kama mgombea mwenza. Pili katiba inaruhusu kuhudumia miaka 10 je atakuwa Raisi wa kwanza kuhudumu miaka 9? Huoni katiba imevunjwa?

"Where the office of President becomes vacant by reason of death, resignation, loss of electoral qualifications or inability to perform his functions due to physical infirmity…then the Vice-President shall be sworn in and become the President…"

Samia is a president by default she just full fill a vacant position what does political parties act provides with regards to election process in Tanzania? Did she give any promises to Tanzanian people? The answer is no, Magufuli was the one.

Ambaye anakamilisha kazi ya Magufuli baada ya kifo chake ni nani!? Je akisha maliza kazi ya Magufuli kuna ruhusa ya yeye kutoa ahadi zake na kuomba kura kwa watanzania? 2025 ndiyo mwisho wa utawala wa Magufuli akigombea Raisi Samia si inamanisha ndiyo mara yake ya kwanza? Kwasababu atafanya kampeini? Na kutoa ahadi kwa wananchi? Na kama aliruhusiwa kupeperusha bendera ya urais kupitia CCM si itakuwa amepitishwa na kamati kuu kwa mara ya kwanza? Iweje asiombe ridhaa ya chama kwa mara ya pili
 
Yaheeee unataka kuuwa watu kwa presha?
 
Rwanda wamefika wapi? Mbona nchi hii inawatu WAPUMBAVU sana? Kuna nini ambacho Rwanda wanatuzidi?

Hata kuifananisha Rwanda na Lake zone bado siyo sahihi. Labda uilingamishe na mikoa ya Lindi na Mtwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…