Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh...!, kuna watu tumeisha zisikia sauti hizi Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke kumaanisha ni single term president!, kuna kuna watu mnawish apige 20 years!, mnamtakia Mama mema kweli au mnataka kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kumvisha kilemba cha ukoka?Miaka mitano au kumi ni michache sana kumpatia mama atuvushe.
P