Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Wachina wanakomba bandari au hujasikia.Hakuna nchi ya kiafrika isiyo na madeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachina wanakomba bandari au hujasikia.Hakuna nchi ya kiafrika isiyo na madeni
Wacha bwana. Sasa wakishaikomba uje utueleze humuWachina wanakomba bandari au hujasikia
Naomb nikumbushe, hivi yule mwamba kapita kura za maoni?Ikiwa ni mpenda ukweli.. nini kilimpata CAG assad baada ya kutoa ripoti yake?.
Tatizo wewe utakuwa umekufaWacha bwana. Sasa wakishaikomba uje utueleze humu
Haina shida utanifufuaTatizo wewe utakuwa umekufa
Mleta mada hiki ulichokiandika hapa akijui, wakati hayo yanatokea alikuwa hayupo nchini, alikuwa sayari ya jupiter akifanya research ya namna bora ya kumsifu mkuu.Magufuli alimtumbua Profesa Assad baada ya report ya Profesa kuonesha mapungufu ya kifedha kwenye serikali ya Magufuli.
Point clear, black n white
Ukiwa unakaa nyumbani kwa baba yako halafu mzee akasema mwisho wa kurudi nyumbani Ni saa mbili usiku halafu wewe kisa umeota ndevu ukarudi saa 6 usiku halafu huna maelezo ya kueleweka bsi utacheza na mbu na baridi la usiku nje huko.Kabla sijachangia naomba uniambie ni kwanini serikali yake ilimnyima Mh Lissu matibabu?? Nani mwenye chuki kati yake na hao unaosema wanapinga kila kitu wakati siasa anafanya mwenyewe nakuwaumiza wengine kwa kutumia vyombo vya dola??
Najua mwanzo mwishoMleta mada hiki ulichokiandika hapa akijui, wakati hayo yanatokea alikuwa hayupo nchini, alikuwa sayari ya jupiter akifanya research ya namna bora ya kumsifu mkuu.
Uzuri Lisu ana damu ya kikenya ya ujasiri baada ya ile ya Kitanzania kutolewa wakati wa matibabu Kenya so ni mtu sahihi,Lissu ni jasri atayeongoza mabadiliko ya kweli nchini,magu hana historia ya kuongoza mchakato wa mabadiliko,uraisi ameupata kwa bahati tu.
Hoja zako ni nzito kweli, zimejaa kenge wa kijaniMimi nakusamehe bure kwasababu ninajua hoja zangu nzito sana, huna namna, yani umejaa upepo kitenesi nyuma. Daaawa mpaka kiama, mtaelewa tuu
#2020 kura kwa John
Akili za lumumba ni shida sana ,itaficha kwani inajikopesha yenyewe.Hivi Kama serikali ingeamua kuficha kuhusu madeni yake, we ungejuaje?
Vijana mnafurahisha sana
Nani tena wewe wa kuitwa Jo Mose. Asante kwa kutuambia kwa kauli yako mwenyewe kuwa mgombea wako sio mstaarabu, na tunajua wasio wastaarabu wanashabikiwa na wenzao wanaofanananao tabia. Watanzania hatutaki mgombea asie na ustaarabu.Uzuri Lisu ana damu ya kikenya ya ujasiri baada ya ile ya Kitanzania kutolewa wakati wa matibabu Kenya so ni mtu sahihi,
jiwe ataki mtu mstaarabu.
Wewe wasemaakili za lumumba ni shida sana ,itaficha kwani inajikopesha yenyewe
KUDEAL NA PRIMITIVE NI LZM UWE PRIMITIVE ZAIDI YAKE,MUNGU WENU KAPATIKANA SAFARI HII KAPATA DAWA YAKE AMETUONEA SANANani tena wewe wa kuitwa Jo Mose. Asante kwa kutuambia kwa kauli yako mwenyewe kuwa mgombea wako sio mstaarabu, na tunajua wasio wastaarabu wanashabikiwa na wenzao wanaofanananao tabia. Watanzania hatutaki mgombea asie na ustaarabu
Hebu jisome tena halafu ujihurumie. Sasa Kama mtu mwenye mawazo hayo ya bata tuu ndio shabiki wa upande wa pili. Dah hasara kubwa hiihuna akili wewe,jakaya alileta maisha bora kwa kila mtanzania ilikuwa ni kula bata tu.huyu mtu wenu kaharibu halafu unasema tufunge mkanda ebo,afunge mkanda wenyewe