Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Mkuu heshima ya mtu haitokani na cheo chake au umri wake bali huduma yake kwa umma,Soma mwongozo wa ccm wa 1970.Hii ccm yenu mpya ni utopolo mtupu,mnalazimisha kuheshimiwa wakati mnafanya Mambo ya hovyo?Kuwa na adabu inayostahili unapomuongelea kiongozi wa nchi. Inashangaza kuona huu ndio Uhuru wa habari mnaoutaka