Mkuu heshima ya mtu haitokani na cheo chake au umri wake bali huduma yake kwa umma,Soma mwongozo wa ccm wa 1970.Hii ccm yenu mpya ni utopolo mtupu,mnalazimisha kuheshimiwa wakati mnafanya Mambo ya hovyo?Kuwa na adabu inayostahili unapomuongelea kiongozi wa nchi. Inashangaza kuona huu ndio Uhuru wa habari mnaoutaka
Unasifia kwenye hamna?ndo uone huo utopolo wakoKwahayo uliyoandika wewe huishi Tanzania
Baada ya uchaguzi utasikia ameshinda kwa 80%Mwanga na giza haiwezekani kukaa kwenye chumba kimoja, Magu ni mwizi,mwongo na mnafiki asingeweza kufanya kazi na Prof Assad
Kama watanzania wameamua hivyo Kuna shida gani?Baada ya uchaguzi utasikia ameshinda kwa 80%
Wewe kenge , weka taco pembeniKama watanzania wameamua hivyo Kuna shida gani?
CCM Itashinda na zaidi ya kushinda
Kaka tunaomba kura yako kwa Rais Magufuli na wagombea wa CCMBaby Kwe Kwe Kwe!
Aah, come nikupake wese, I nese nese, aah
Nizame ndani na rungu kwa komredi
Ili mtuumize tena kwa miaka mitanoKaka tunaomba kura yako kwa Rais Magufuli na wagombea wa CCM
Wacha weeWanaccm woòoteeee
Someni Waraka wa Mtume Paulo kwa Wakolosai
Sura ya tatu , aya ya 25
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari hii upinzani umepata mtu makini na sahihi tena mwenye damu ya Kenya baada ya ile ya tza kumwagwa na magaidi area D, kila walilofanya baya kwa upinzani limewarudia mara 7 wanahaha miti yote imeteleza
Ni YEYE mpakwa mafuta wa BWANA.