Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanetu,tumchane au tumuache kwanza?Haya ni mabadiriko ya maisha yangu baada ya kuoa.
POSITIVE.
1. Kabla ya kuoa nilikuwa naweza lala bila kula au nikala mkate na juisi tu nikalala ila sasa nikitoka kazini na njaa nakuta mke wangu amenipikia chakula nikipendacho.
2. Kabla ya kuoa nilikuwa naweza amka asubuhi,nataka kwenda kazini nakuta nguo zote chafu. Sasa hivi hata sifikilii kuhusu nguo za kuvaa, wife ana deal vizuri na hilo.
3. Kabla ya kuoa nilikuwa nateswa sana na njaa ya sex ( nyege) inafikia wakati umekaa kwenye daladala unashangaa baba wa taifa anasimama bila sababu.Sasa hivi mke wangu ananitosheleza vizuri.
4. Nilikuwa nateswa na stress za kazi. Nikitoka job na stress, najifungia ndani na stress zangu, nakosa hata usingizi. Sasa hivi nikitoka job nikifika home tu stress zinaisha kesho yake nakuwa mtu mpya.
5. Nilikuwa nakwepa kupokea wageni sababu nyumbani kwangu mazingira yalikuwa hovyo. Sasa hivi natamani kupokea wageni, na wageni wakija wanaondoka wamefurahi.
6. Nilikuwa nateswa na underweight, nguo hazikai kiunoni sababu ya kukonda kupitiliza. Sasa hivi nalazikika kufanya mazoezi kuepuka overweight.
7. Jumamosi naamka asubuhi nakula chakula cha kiume( morning Glory) kisha nalala tena nasubiri kuamshwa kupata breakfast 😀.
NEGATIVES
1.Matumizi ya pesa ya matunzo kwa mke kama nguo, kusuka, mafuta, kumtoa out siku moja moja.
2. Kukosa uhuru wa kufanya ninacho taka nikiwa kwangu kama vile kuweka Chanel ya TV ninayo taka ( sasa hivi nalazikika kuangalia vitu vya kijinga kama juakali)
3. Kukosa uhuru wa kutoka na kurudi muda ninao taka.
4. Maudhui madogo madogo ya wanawake kama kununa kwa sababu za kijinga na kudeka.
5. Sasa hivi sifanyi vitu kwa kujiangalia mwenyewe lazima nimfikilie na mke wangu.
NB: ndoa ina postives na negatives, ombea postives ziwe nyingi na negatives ziwe zinazo vumilika. Usiwasikilize team kataa ndoa, ni losers. Za kuambiwa changanya na zako
bro usi nijaze nika chana mkeka 🙄😂Ndoa ni tamu inategemea na uliyempata, mie nikiambiwa ndoa mbaya, namcheka moyoni, sababu mke wangu hanipi kero kubwa kubwa, zipo zile ndogo ndogo ambazo kwa yale mazuri yake ni sawa na hakuna kero.
kuangalia juakali na mkeo mbona sio ujinga kabisa😅2. Kukosa uhuru wa kufanya ninacho taka nikiwa kwangu kama vile kuweka Chanel ya TV ninayo taka ( sasa hivi nalazikika kuangalia vitu vya kijinga kama juakali)
Mimi sijaona -ve yoyote hapo, endelea ku enjoy mkuu.Negative ipi hiyo mkuu ili nijipange?
Weka nyama nyamandoa sio tamu unaleta ujinga hapa jaman toa takataka hii ..... unajua utamu ni kujua kujijua the christ within ukijua hii hutataka ndoa it is beyond cocaine
Mwanaume anayeangalia tamthilia yupo kundi moja na timu DiarraKwaio juakali ni vitu vya kijinga
Mbona kataa ndoa mnatumia nguvu kubwa sana kuonyesha watu kuwa ndoa ni mbaya sana, na mna furaha sanaa!!Kila mtu aishi maisha aliyochagua kuishi yanayompa furaha. Huwa najiuliza kwanini waliooa huwa wanatumia nguvu nyingi ionekane wana furaha kwenye ndoa!?.., kwani ni lazima kushawishiana au kulingishiana furaha!?!?..,
Bro hakikisha clutch, breki, accelerator pedal uwe vizuri kuvimudu na hiyo gari yako mpya hiyo HINO toka japan ipo tambarare pale mataa ya Morocco everything is smooth, kaa ukijua safari yako lazma ipite Milima Kitonga, uhuru huna endapo utafeli vitatu hapo juu ukiwa kitonga 😂😂😂, huyo uliyempakia hajui hayo cause hausiki nayo anajali kufika tu. Ni hayo tuHaya ni mabadiriko ya maisha yangu baada ya kuoa.