Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
😹😹😹Utarudi hapa mkia ukiwa juu makende yashakuwa mazito.
Mbona wewoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹Utarudi hapa mkia ukiwa juu makende yashakuwa mazito.
tumuache huyu bado ana hangover ya pussy. Beginners hawa wanambwembwe sana😄😄😄wanetu,tumchane au tumuache kwanza?
Upo sahihi kabisa watu wengi waliooa hawana furaha, na wengi kazi yao kushawishi watu waingie huko ili JOTO LA JIWE mpate wote.Stuka KATAA NDOA.#KATAA NDOA USIDANGANYWE WENGI WANATAKA MUINGIE KWENYE MATATIZO NA NYIE MTEGO HUO
Ha ha hatumuache huyu bado ana hangover ya pussy. Beginners hawa wanambwembwe sana😄😄😄
Kwa sisi malegend wa SOGEA tukae tunamuonea bwanamdogo huruma na tunamshauri akae kwa kutulia ndo kwanza usubuhi, bado kabisa NGOMA mbichi.
Kama Eva alimuaribia Adam amani yake kule bustanini😄😄😄,kwa bwanamdogo ni swala la muda tu atakuja kupiga yowe hapa JF kwa id mficho😂😂😂
#kataa ndoa,ndoa ni utapeli!
Embu oa uko.Kila mtu aishi maisha aliyochagua kuishi yanayompa furaha. Huwa najiuliza kwanini waliooa huwa wanatumia nguvu nyingi ionekane wana furaha kwenye ndoa!?.., kwani ni lazima kushawishiana au kulingishiana furaha!?!?..,
Gaidi anakushawishi tena ukajitie muhanga??Mi mwenyewe nataka kukimbimbia ubacchela uliwa bachela hata wale magaidi wanashawishika kuja kukushawishi ukajitoe muhanga maana wanajua ni rahisi nyuma yako huna unachowaza hauna mke wala mtoto
Mambo haya hakuna namna inabid uyakubal tu. Niko nauza majeraha hapaInasikitisha sana japo inachekesha jinsi ulivyoiwasilisha hoja. Pole mkuu
Bado changa mkuu enjoy
Hatimaye expert amejipata ndani ya ndoaHaya ni mabadiriko ya maisha yangu baada ya kuoa.
POSITIVE.
1. Kabla ya kuoa nilikuwa naweza lala bila kula au nikala mkate na juisi tu nikalala ila sasa nikitoka kazini na njaa nakuta mke wangu amenipikia chakula nikipendacho.
2. Kabla ya kuoa nilikuwa naweza amka asubuhi,nataka kwenda kazini nakuta nguo zote chafu. Sasa hivi hata sifikilii kuhusu nguo za kuvaa, wife ana deal vizuri na hilo.
3. Kabla ya kuoa nilikuwa nateswa sana na njaa ya sex ( nyege) inafikia wakati umekaa kwenye daladala unashangaa baba wa taifa anasimama bila sababu.Sasa hivi mke wangu ananitosheleza vizuri.
4. Nilikuwa nateswa na stress za kazi. Nikitoka job na stress, najifungia ndani na stress zangu, nakosa hata usingizi. Sasa hivi nikitoka job nikifika home tu stress zinaisha kesho yake nakuwa mtu mpya.
5. Nilikuwa nakwepa kupokea wageni sababu nyumbani kwangu mazingira yalikuwa hovyo. Sasa hivi natamani kupokea wageni, na wageni wakija wanaondoka wamefurahi.
6. Nilikuwa nateswa na underweight, nguo hazikai kiunoni sababu ya kukonda kupitiliza. Sasa hivi nalazikika kufanya mazoezi kuepuka overweight.
7. Jumamosi naamka asubuhi nakula chakula cha kiume( morning Glory) kisha nalala tena nasubiri kuamshwa kupata breakfast 😀.
NEGATIVES
1.Matumizi ya pesa ya matunzo kwa mke kama nguo, kusuka, mafuta, kumtoa out siku moja moja.
2. Kukosa uhuru wa kufanya ninacho taka nikiwa kwangu kama vile kuweka Chanel ya TV ninayo taka ( sasa hivi nalazikika kuangalia vitu vya kijinga kama juakali)
3. Kukosa uhuru wa kutoka na kurudi muda ninao taka.
4. Maudhui madogo madogo ya wanawake kama kununa kwa sababu za kijinga na kudeka.
5. Sasa hivi sifanyi vitu kwa kujiangalia mwenyewe lazima nimfikilie na mke wangu.
NB: ndoa ina postives na negatives, ombea postives ziwe nyingi na negatives ziwe zinazo vumilika. Usiwasikilize team kataa ndoa, ni losers. Za kuambiwa changanya na zako
Hata wasio na ndoa wanatumia nguvu nyingi ionekane ndoani ni vilio tupu.Kila mtu aishi maisha aliyochagua kuishi yanayompa furaha. Huwa najiuliza kwanini waliooa huwa wanatumia nguvu nyingi ionekane wana furaha kwenye ndoa!?.., kwani ni lazima kushawishiana au kulingishiana furaha!?!?..,
Unakoswaje uhuru na upo kwako mkuu?3. Kukosa uhuru wa kutoka na kurudi muda ninao taka.
Hongera mkuu. Tukiweka assumption kuwa umepata mke mwema asiye na uhuni na mwenye nia ya dhati kutunza ndoa yake tegemea kero zifuatazo baada ya miaka kadhaa:Haya ni mabadiriko ya maisha yangu baada ya kuoa.
POSITIVE.
1. Kabla ya kuoa nilikuwa naweza lala bila kula au nikala mkate na juisi tu nikalala ila sasa nikitoka kazini na njaa nakuta mke wangu amenipikia chakula nikipendacho.
2. Kabla ya kuoa nilikuwa naweza amka asubuhi,nataka kwenda kazini nakuta nguo zote chafu. Sasa hivi hata sifikilii kuhusu nguo za kuvaa, wife ana deal vizuri na hilo.
3. Kabla ya kuoa nilikuwa nateswa sana na njaa ya sex ( nyege) inafikia wakati umekaa kwenye daladala unashangaa baba wa taifa anasimama bila sababu.Sasa hivi mke wangu ananitosheleza vizuri.
4. Nilikuwa nateswa na stress za kazi. Nikitoka job na stress, najifungia ndani na stress zangu, nakosa hata usingizi. Sasa hivi nikitoka job nikifika home tu stress zinaisha kesho yake nakuwa mtu mpya.
5. Nilikuwa nakwepa kupokea wageni sababu nyumbani kwangu mazingira yalikuwa hovyo. Sasa hivi natamani kupokea wageni, na wageni wakija wanaondoka wamefurahi.
6. Nilikuwa nateswa na underweight, nguo hazikai kiunoni sababu ya kukonda kupitiliza. Sasa hivi nalazikika kufanya mazoezi kuepuka overweight.
7. Jumamosi naamka asubuhi nakula chakula cha kiume( morning Glory) kisha nalala tena nasubiri kuamshwa kupata breakfast 😀.
NEGATIVES
1.Matumizi ya pesa ya matunzo kwa mke kama nguo, kusuka, mafuta, kumtoa out siku moja moja.
2. Kukosa uhuru wa kufanya ninacho taka nikiwa kwangu kama vile kuweka Chanel ya TV ninayo taka ( sasa hivi nalazikika kuangalia vitu vya kijinga kama juakali)
3. Kukosa uhuru wa kutoka na kurudi muda ninao taka.
4. Maudhui madogo madogo ya wanawake kama kununa kwa sababu za kijinga na kudeka.
5. Sasa hivi sifanyi vitu kwa kujiangalia mwenyewe lazima nimfikilie na mke wangu.
NB: ndoa ina postives na negatives, ombea postives ziwe nyingi na negatives ziwe zinazo vumilika. Usiwasikilize team kataa ndoa, ni losers. Za kuambiwa changanya na zako
Usioe kisa mie nimeoa mzee, maana si rahisi kupata mke bora,bro usi nijaze nika chana mkeka 🙄😂