Mabadiliko ya maisha yangu baada ya kuoa

ndoa sio tamu unaleta ujinga hapa jaman toa takataka hii ..... unajua utamu ni kujua kujijua the christ within ukijua hii hutataka ndoa it is beyond cocaine
 
Muda unavyozidi kwenda NEGATIVE zitaongezeka na POSITIVE zitaisha kabisa.Ndoa changa huwa zinakuwa 🔥🔥🔥 kwasababu bado hamjazoeana na kuanza kuonyeshana SURA HALISI.

Itafika muda utatamani umiliki DRY CLEANER, Uajiri mtu awe tu anakuja kufanya usafi na kupika alafu asepe.Yaani kuna muda utakerwa utamisi UBACHELA. Stay tuned!!!!

#kataa ndoa,ndoa ni utapeli!
 
wanetu,tumchane au tumuache kwanza?
 
Jana nilinyandua wife mpaka aka squit ,jamani godoro lote lililoa na maji ,jamani ndoa ni ngumu kama utashindwa kumridhisha mke wako.
 
Walai bilai watalai hiyo ndoa bado changa pengine ina mwezi hivi ukifika miezi sita utaanza tu kuimba mbona wewoooooooo,

Mamaqe
 
2. Kukosa uhuru wa kufanya ninacho taka nikiwa kwangu kama vile kuweka Chanel ya TV ninayo taka ( sasa hivi nalazikika kuangalia vitu vya kijinga kama juakali)
kuangalia juakali na mkeo mbona sio ujinga kabisa😅
 
ndoa sio tamu unaleta ujinga hapa jaman toa takataka hii ..... unajua utamu ni kujua kujijua the christ within ukijua hii hutataka ndoa it is beyond cocaine
Weka nyama nyama
 
Kila mtu aishi maisha aliyochagua kuishi yanayompa furaha. Huwa najiuliza kwanini waliooa huwa wanatumia nguvu nyingi ionekane wana furaha kwenye ndoa!?.., kwani ni lazima kushawishiana au kulingishiana furaha!?!?..,
Mbona kataa ndoa mnatumia nguvu kubwa sana kuonyesha watu kuwa ndoa ni mbaya sana, na mna furaha sanaa!!
 
Kitu cha kwanza kitakacho kugharimu ukiingia kwenye NDOA ni uhuru wako.....kuna muda unalazimika kuyakubali mambo ili tu kuwe na amani hata kama nafsi yako haitaki......

Bado NDOA inabakia kuwa ni taasisi ngumu sana kimaumbile ndio maana kuvumiliana ni jambo la msingi kwa kuwa kero na changamoto nyingi sana.......

Nawashauri vijana wafikirie mara mbili mbili kabla ya kufanya maamuzi ya kuoa..... unatakiwa ujipange kimwili na kiakili kuyakabili mazito hata yale ambayo hukuyatarajia kabisa.......

NDOA NDOANO.......
 
Bro hakikisha clutch, breki, accelerator pedal uwe vizuri kuvimudu na hiyo gari yako mpya hiyo HINO toka japan ipo tambarare pale mataa ya Morocco everything is smooth, kaa ukijua safari yako lazma ipite Milima Kitonga, uhuru huna endapo utafeli vitatu hapo juu ukiwa kitonga 😂😂😂, huyo uliyempakia hajui hayo cause hausiki nayo anajali kufika tu. Ni hayo tu


Kilimani weka kaseja nenda mdogo mdogo, milima inateleza ukishuka sana kama huna stoppper/retarder haya🤣🤣🤣
Madereva wameelewa 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…