Mabadiliko ya maisha yangu baada ya kuoa

wanetu,tumchane au tumuache kwanza?
tumuache huyu bado ana hangover ya pussy. Beginners hawa wanambwembwe sana๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Kwa sisi malegend wa SOGEA tukae tunamuonea bwanamdogo huruma na tunamshauri akae kwa kutulia ndo kwanza usubuhi, bado kabisa NGOMA mbichi.

Kama Eva alimuaribia Adam amani yake kule bustanini๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„,kwa bwanamdogo ni swala la muda tu atakuja kupiga yowe hapa JF kwa id mficho๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


#kataa ndoa,ndoa ni utapeli!
 
Ha ha ha
 
Kila mtu aishi maisha aliyochagua kuishi yanayompa furaha. Huwa najiuliza kwanini waliooa huwa wanatumia nguvu nyingi ionekane wana furaha kwenye ndoa!?.., kwani ni lazima kushawishiana au kulingishiana furaha!?!?..,
Embu oa uko.
 
Nilitaka nitiririke ninayopitia hapa ila ngoja tumuunge master degree mwenzetu tuchukue point

Hakika ndoa tamu
 
Mi mwenyewe nataka kukimbimbia ubacchela uliwa bachela hata wale magaidi wanashawishika kuja kukushawishi ukajitoe muhanga maana wanajua ni rahisi nyuma yako huna unachowaza hauna mke wala mtoto
Gaidi anakushawishi tena ukajitie muhanga??
Uko sawa Devil one?
 
Kwa hiyo point namba tatu pekee inaonekana wew ni domo zege na uwenda hata mkeo kwako hata akikosea unaona sawa tu coz unajua kupata mwngne ni mtiti dunia ya leo ukiteseka na ny***ge umependa tu.

Pia kama unaoa sababu ya kufuliwa we ni mchafu bya nature hadi ghetto lako ushindwe kusafisha pia.
 
Hatimaye expert amejipata ndani ya ndoa
 
Kila mtu aishi maisha aliyochagua kuishi yanayompa furaha. Huwa najiuliza kwanini waliooa huwa wanatumia nguvu nyingi ionekane wana furaha kwenye ndoa!?.., kwani ni lazima kushawishiana au kulingishiana furaha!?!?..,
Hata wasio na ndoa wanatumia nguvu nyingi ionekane ndoani ni vilio tupu.
 
3. Kukosa uhuru wa kutoka na kurudi muda ninao taka.
Unakoswaje uhuru na upo kwako mkuu?
Kwahiyo huwa unapangiwa muda wa kurudi? Mbona wengine hata kuaga huwa tunaaga tyr nikiwa kwenye basi naendelea na safari na siku ya kurudi naijua mimi na muda wowote naweza fika mapema kama sina mizigo napita sehemu kwanza hadi 7 ndo narudi kwangu.

Achana na maisha ya kila siku yeye huwa anauliza tukusubiri kula au tukuachie chakula basi zaidi ya hapo anataka kunipanda kichwani,

Jirekebisha hii sijaipende.Hlafu mwanaume kuangalia JUAKALI ni undwazi sana. mwanaume angalia bbc,Voa,Dw nk ikiisha kabizi remort kalale.

Kama unapenda wanyama vizia muda ambao hawapo active na TV weka angalia hadi uchoke nenda misele kurudi majaliwa
 
Tv nayo ni moja ya kero kwako kwenye ndoa hakika ndoa yenu ni change hiso negative hakuna yenye mashiko hata moja kunywa mtori nyama zipo chini

Kila lakher
 
Hongera mkuu. Tukiweka assumption kuwa umepata mke mwema asiye na uhuni na mwenye nia ya dhati kutunza ndoa yake tegemea kero zifuatazo baada ya miaka kadhaa:

1. Kukuzoea kupitiliza itakayopelekea kujisahau hata wakati mwingine kuropoka ujinga au kukujibu upuuzi bila hata yeye kutegemea.

2. Kumzoea kupitiliza mpaka ukajisahau na kumuona hana jipya kwenye kufanya mapenzi itakayopelekea kutokujali hisia zake. (Hapa hata afanyaje unaweza kumchukulia poa)

3. Watoto kupewa kipaumbele na wewe kupuuzwa, hapa kama ulikuwa unaandaliwa chai unaweza shangaa hafatilii hata ukiinywa kwa shoga yake.

4. Uchafu, kuna nyakati anaweza asahau kuficha uchafu ambao kipindi cha mwanzo alikuwa nao makini. Mfano, kusahau kuflash na kuacha kinyesi chake au taulo zake za kike zilizotumika kuzisaha sehemu ya wazi na wewe kuziona.

5. Kuvutiwa na wanawake wa nje as long as anakukumbusha maisha kabla ya ndoa. Mwanamke wa kawaida tena asiye na uzuri wa mkeo anaweza kukuvutia kwa kiwango cha kurisk ndoa yako. Mkachat, sms usiku hata kupigiana video call na ukaona burudani, sio kwa sababu humpendi mkeo ila basi tu unajikuta kwenye hiyo hali. Ikikutokea hii pigana nayo usiiendekeze.

6. JARIBU LA WEWE KUFULIA, KUCHACHA, KUISHIWA, KUSHINDWA KUTIMIZA MAHITAJI YA NYUMBANI. HILI USIOMBE LIKUPATE MAANA HATA MKEO AKIWA MUELEWA KATIKA HIYO HALI CHOCHOTE ATAKACHOSEMA HATA NIA IKIWA NI KUJENGA UNAWEZA MJIBU VIBAYA HATA KUMTUKANA. WANAWAKE WACHACHE MNO WAPO SMART ENOUGH KUCHAGUA NINI CHA KUSEMA KWENYE HAYA MAZINGIRA KISILETE TAFSIRI MBAYA KWA MWANAUME.

N.K N.K N.K
 
Navojua mimi ukiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndio fursa yenyewe
Ndoa ingekuwa nzuri kama mnavoisifia wala msingetulazimisha๐Ÿ˜
 
bro usi nijaze nika chana mkeka ๐Ÿ™„๐Ÿ˜‚
Usioe kisa mie nimeoa mzee, maana si rahisi kupata mke bora,
Tizama nikiangalia list ya wanawake niliodate nao, wenye hadhi ya kuwa mke hawazidi hata wa3, sasa ukiiona hiyo list yenyewe ndio utajua ni namna gani ilivyo ngumu kumpata mke sahihi.

Ukitaka kyoa kuwa makini sana.
 
Ndo raha ya ndoa hiyooo...kununiwa nuniwa siku moja moja...kuombwa ombwa hela kidogo...ndo mapenzi yananoga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ