Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Jukwaa la wakubwa jitahidi mkuu Melo uliweke kinamna fulani tunakosa madelini
 
Baadae upige hatua,pawe na jukwaa la ujumbe wa sauti sometimes twende live kunawatu wana google vingereza humu kuandika.
Kwamba tusiojua viingereza niaje sijapenda [emoji23][emoji23]
 
Tapatalk will be DISABLED kabisa
Kikubwa hiyo App mpya iwe nzuri.

Nilihamia Tapatalk sababu ya kupata tatizo la notifications, na kuzitfuta ilikuwa vigumu.

Tapatalk notification hata nisipoipata ila nikitembea section yake nitaipata.

Sina budi kuwa tayari kwa haya mabadiliko
 
You're so Generous Sir🙏
Nitajitahidi kufuata huu ushauri wako, Thank you so much, your kind gesture is definitely-much obliged Sir.
Nitalishika neno lako hili🙏
 
Kuwe na option ya kufuta Uzi kwa aleanzisha


CC: Da'Vinci
 
Ushauri mzuri Sana
 
Tunapendekeza kuwe na mijadala live kwa kutumia sauti zetu.. Kama ilivyo kwa SPACE..
Vile vile baadhi ya user hatupati notification..
 
You're so Generous Sir[emoji120]
Nitajitahidi kufuata huu ushauri wako, Thank you so much, your kind gesture is definitely-much obliged Sir.
Wafahamu mimi si wahovyo, Nutalishika neno lako hili[emoji120]
Neno kubwa mno sio jf tu hta kwenye maisha ya kawaida
 
Maxence Melo dislike/downvote 👎 button ni muhimu sana ka mkubwa. Mimi kwangu naona ndio pungufu kubwa hapa JF.
No that way. Maana uki dislike still utaona "five people liked so and so". Like na dislike ziwe two separate buttons. Kwamba kama sijapenda na downvote moja kwa moja na sio mpaka ni click-hold like button kisha nichague emoticon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…