Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Jukwaa la wakubwa jitahidi mkuu Melo uliweke kinamna fulani tunakosa madelini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We achaa... Nae kuna mmoja simuelewii...Sio usaliti tu iwe kama mhujumu uchumi kesi yake haina dhamana dadek
Kwamba tusiojua viingereza niaje sijapenda [emoji23][emoji23]Baadae upige hatua,pawe na jukwaa la ujumbe wa sauti sometimes twende live kunawatu wana google vingereza humu kuandika.
Kikubwa hiyo App mpya iwe nzuri.Tapatalk will be DISABLED kabisa
TECNO users mna hasira kaliHatutaki ziwe zinaonekana aina za simu haswa hizi simu za wanyonge infinix na Tecno kama hapo chini ukipublish tuu
Pia ukituma iphone huoni kitu kama hicho
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
You're so Generous Sir🙏Mond please ishi maisha yako! that's the best I can tell you! Usijaribu kulinganisha tafadhali.. Utaishia kuumia tuu, utalinganisha vingapi kwenye maisha? Never mind about JF for a moment then njoo kwenye real life.. Unaweza kujikuta you are a public enemy!
The most important person in life is YOU! yourself! The rest are beyond your control! Be YOU! Utaishi kwa amani na furaha sana . halafu iachie hadhira ikuhukumu..kukupenda ama kukuchukia but you must remain to be you! Hutopendwa na wote hutachukiwa na wote . Ila popote utakapokuwa jitahidi kufuata kanuni na sheria.. Jitahidi mno kufuata kitu kinaitwa T&C
Kuwe na option ya kufuta Uzi kwa aleanzisha
Marehemu hafufuki kakaHivi jlw mtalirudisha
Ova
Ushauri mzuri SanaMond please ishi maisha yako! that's the best I can tell you! Usijaribu kulinganisha tafadhali.. Utaishia kuumia tuu, utalinganisha vingapi kwenye maisha? Never mind about JF for a moment then njoo kwenye real life.. Unaweza kujikuta you are a public enemy!
The most important person in life is YOU! yourself! The rest are beyond your control! Be YOU! Utaishi kwa amani na furaha sana . halafu iachie hadhira ikuhukumu..kukupenda ama kukuchukia but you must remain to be you! Hutopendwa na wote hutachukiwa na wote . Ila popote utakapokuwa jitahidi kufuata kanuni na sheria.. Jitahidi mno kufuata kitu kinaitwa T&C
We ndy umeuliza kitu cha msingi sanaMie naomba updates ya JF iwepo, maana kila ukitaka ku update inakataa.
Jukwaa la wakubwa pia mlirudishe tafadhari Mr Melo.
Neno kubwa mno sio jf tu hta kwenye maisha ya kawaidaYou're so Generous Sir[emoji120]
Nitajitahidi kufuata huu ushauri wako, Thank you so much, your kind gesture is definitely-much obliged Sir.
Wafahamu mimi si wahovyo, Nutalishika neno lako hili[emoji120]
What's wrong with your security?Unahakikishaje security ya watumiaji?
No that way. Maana uki dislike still utaona "five people liked so and so". Like na dislike ziwe two separate buttons. Kwamba kama sijapenda na downvote moja kwa moja na sio mpaka ni click-hold like button kisha nichague emoticon.Maxence Melo dislike/downvote 👎 button ni muhimu sana ka mkubwa. Mimi kwangu naona ndio pungufu kubwa hapa JF.