Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Users wengi ni fake id's sioni haja ya kublock these ID's

mawazo yangu.
 
Boss maombi yangu kwenu.

Naomba kuwe na algorithm ambayo itaweza deduce ni contents gani unaziangalia mara nyingi hivyo uwe unaletewa contents ambazo hazitakufanya uwe unarefresh over and over just kupata kitu kipya.

Kwa sasa hivi unaweza kuta Id moja ina nyuzi zake nne zipo kwenye user interface, ukirefresh, bado zinakuja za Id hiyo hiyo. Bahati mbaya waweza kuta hiyo Id hua inaandika miyeyusho day in day out.

Najua kuna ignore button ila ukimuignore mtu ikatokea siku kwa bahati mbaya au nzuri kaandika contents unazozielewa hautaweza ona.

Natanguliza shukrani.
 

Mpaka chizcom kuwa sema na mood wako kufuta ukweli
 
Mkuu tunashukuru sana,

Ila kwangu jamiiforum app haileti notifications kwa wakati,

Nalazimika kutumia browser
 
Mnapofuta nyuzi muwe mnatoa na sababu juzi tu hapa nililalamikia wadada wanao inama kama ngamia wakiwa sita kwa sita badala ya kubinuka binu!..
Uzi ukafutwa sababu sikupewa!

Ahsante nanyinyi kwa ushirikiano wenu jf for life.
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…